Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

Mtu ambaye dishi limeyumba kiasi hicho wewe ndiye unamwita smart? Mtu ambaye utengamano wa uwezo wake wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi ndiye anaitwa smart?
Ama kweli kua mwanangu uyaone ya walimwengu!
 
"...... athibitishe kama yeye sio dikteta uchwara" nikikumbuka hili sekeseke nacheka sana. Ingeandaliwa debate ya wagombea hakuna anaeweza kupambana na TAL
 
Nilisema hii nchi Tungekua serious Lissu angekua mpaka Sasa anaongoza muhimili mmoja Kati ya mitatu iliyopo nchini
 
Waliosoma sheria Tanzania ni wengi Sana ila wanaojua sheria ni Mimi na Tundu Lissu anachosema Lissu yuko sahihi by Chenge Mbungeni
 
Alimwambia mzee mpango ana professional arrogance na ripoti ya professor Mruma ni professional rubbish kile kichwa cha singida sio mchezo.
Ni vigumu Sana kujua Lissu anatokea singida alafu ni mtanzania lazima utabisha Singinda wanatoka wakina Suphiani Juma watanzania ni wakina mwijaku na baba levo
 
Hivi huo mnamaanisha nini kuwaalika Hawa watu ilhali mkijua fikra wakifika wanatema pumba, au wote mnashirikiana kufanya hizi comedy?
Wenyewe wanasikia waulize,hiyo ni sehemu ya elimu kwao au comedy.
 
Mtu ambaye dishi limeyumba kiasi hicho wewe ndiye unamwita smart? Mtu ambaye utengamano wa uwezo wake wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi ndiye anaitwa smart?
Ama kweli kua mwanangu uyaone ya walimwengu!
Nawasikitikiq JF kukupa platnum membership. Kwa akili hizi hata kama umelipia nisingekupa.
 
Wenye maadili na Akili tunawaweka gerezani Alafu wapumbavu na washenzi wakubwa ndio tunawapigia salute ipo siku nasema ipo siku inakuja si muda mrefu.Tulidhani Freeman Mbowe ni mpambanaji kumbe tulikuwa tunamsingizia kaka wa watu,kumbe ni mpumbavu wa mwisho mpuuzi kabisa aliyeamua kuingia kwenye rekodi mbaya kwenye saa ya ukombozi.
Nakwambiaje, mzungu alipotuitaga watu weusi manyani hakukosea kabisa.

Ukiwaza Lissu na uwezo ule wa kiakili yupo Gerezani alafu Samia na Kikwete ndo wanaongoza hii nchi ufajisemea tu acha tuitwe manyani.
 
Lissu ni mzuri sema ni ropo ropo tutashitakiwa miga na yule bodyguard wa magufuli amekufa just ni ropo ropo

..tulishtakiwa mahakama za kimataifa na tumelipa mabilioni.

..magufuli alikufa kwa corona, lakini bodyguard bado tuko naye.
 
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.

Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.

Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.

Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.

Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.

Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
smart kwako usituweke kwenye hilo kundi
 
Sasa wewe ulivyo kilaza na mpuuzi utakuwaje kwenye kundi la watu smart?
ata ngombe anavokula majani na kulala anajiona smart inategemea unamview kutoka angle gan ukiwa angle ya mbuzi anakua smart mwenzako ukiona angle ya binadam unajua anakaribia kuchinjwa supu ipikwe
 
ata ngombe anavokula majani na kulala anajiona smart inategemea unamview kutoka angle gan ukiwa angle ya mbuzi anakua smart mwenzako ukiona angle ya binadam unajua anakaribia kuchinjwa supu ipikwe
Wewe kwa parameters zote ni kilaza.

Au hujawahi ambiwa huko CCM?

Endelea kujipendekeza tu korido za Lumumba ili uishi.
 
Wewe kwa parameters zote ni kilaza.

Au hujawahi ambiwa huko CCM?

Endelea kujipendekeza tu korido za Lumumba ili uishi.
na wewe hujawahi ambiwa uko chadema kwamba mwanasiasa anatakiwa kushika uongozi na sio kuchangisha tone tone
 
Back
Top Bottom