B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Umesahau kujumlisha na mama yao na deni lake la 107T
NO REFORMS NO ELECTION
Umesahau kujumlisha na mama yao na deni lake la 107T
Nimekupa like mwana CCM kwa kutamka ukweli.Ijapokuwa jamaa namchukia kisiasa lkn yupo vizuri kiakili sana tena sana kusheria, kihoja , kama mwanasiasa mwengine ndani ya chama changu hivi sasa amekumbwa na mtihani kama ule wa Lissu hata awe professor ya sheria basi asingweza kujitetea, hivi sasa angalikua kashakonda hata vifungu vyote vya sheria anavyojiua angalikua ashavisahau kichwani.
Lissu yupo vizuri hata mtu hampendi lkn kimono moyo anaweka tick
Huwezi kuiona maana wewe huna akiliAkili gani aliyonayo
Upi sahihi. Watajwa hapo juu niwapumbavu
tutakopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ya wananchi tu gentlemanMwehunkweli mama mchamba wima kakopa trilion40 ndani ya miaka minne.. unamfananisha na mughwai?
Wenye uwezo kiakili kama hawatakiwi. Ila,muda umefika, stay tuned.Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.
Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.
Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.
Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.
Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.
Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
Usinifananishe na huo uchafu. We hioni Lissu alivyo wa kipekee?Angalia usije ukamzidi hata Lucas Mwashambwa!
Acha tu wazungu watuite weusi manyani. Hivi Lissu tunamtendea vile alafu Samia ndo yupo Ikulu? Tulia ndo yupo Bungeni? Mwigulu ndo yupo Hazina?Wenye uwezo kiakili kama hawatakiwi. Ila,muda umefika, stay tuned.
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.
Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.
Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.
Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.
Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.
Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
Nakubaliana na wewe.Lissu alitakiwa awe mghana au nigeria au Kenya. Huko ndiko kuna.waafrika weusi wenye akili nyingi sana akina dangote. Adeleke akina president John kufour.
Ukiona mtanzania vyuo vikuu vinamuita.akatoe public lecture vya nje ujue huyo ni mashine sio chawa
😄Huwezi kuiona maana wewe huna akili
Ccm yote ikichukuliwa Tanzania haina hasaraMungu ukimchukuwa Samia sina hasara
Ila kashusha Bondo za hatariMpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.
Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.
Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.
Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.
Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.
Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
Asikwambie mtu. Lissu ni mashineIla kashusha Bondo za hatari
Nimesokiriza kwa makini huyu jamaa hakuna wakujikweza nae karibu njia atazinyoosha kama ni mapungufu kwa binadam yatakua ya kawaidi lkn sio ya kuathiri taifa Mungu ibariki TanganyikaAsikwambie mtu. Lissu ni mashine
Wenye maadili na Akili tunawaweka gerezani Alafu wapumbavu na washenzi wakubwa ndio tunawapigia salute ipo siku nasema ipo siku inakuja si muda mrefu.Tulidhani Freeman Mbowe ni mpambanaji kumbe tulikuwa tunamsingizia kaka wa watu,kumbe ni mpumbavu wa mwisho mpuuzi kabisa aliyeamua kuingia kwenye rekodi mbaya kwenye saa ya ukombozi.Mpende mchukie