Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.

Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.

Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.

Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.

Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.

Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
Ngoja mashabiki maandazi wa CCM waje 🤣 🤣 🤣
 
Hakika
 
Aya ya mwisho imenisikitisha sanaaa SANAAA.

😔😔
 
Kulinda kitumbua kunatugarimu sana
 
Gentleman,
mropokaji na ombaomba kuchangiwa pesa wa kimataifa kama huyo, anasota korokoroni kindezi kabisa ataoa wap akili hata kumfananisha na wataalam waandamizi wa siasa za Tanzania ulowatag? :putinWalk:
Mwehunkweli mama mchamba wima kakopa trilion40 ndani ya miaka minne.. unamfananisha na mughwai?
 
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.

Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.

Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.

Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.

Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.

Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
We mshikie tu hiyo mimba uje kujuta baadae......kwa akili zipi?!!!!
 
Watanzania ni wanafiki mno ,hapa comments nyingi zinamsifia Lissu,lakini ukisema waandamane barabarani kushinikiza Lissu atoke wanaufyata,kazi Yao ni kuweka mabundle tu kutazama kilichojiri kwa njia ya simu/PC lakini ni ngumu kuingia barabarani
 
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.

Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.

Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.

Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.

Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.

Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
Lissu ni mzuri sema ni ropo ropo tutashitakiwa miga na yule bodyguard wa magufuli amekufa just ni ropo ropo
 
Back
Top Bottom