Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

Hiyo inaitwa conflict within! Tatizo lako unajilinganisha na watu umeshindwa kujikubali! Kumbuka wewe unaingiza hata hicho kidogo kuna wenzio huko mtaani hawana mbele wa nyuma wamebakiza kunywa Pombe tu! Juzi kati hapa kuna dogo kapata kazi ya kupozea machungu kajichanganya akakimbia na
hela kidogo tu isiyomaliza matatizo akapoteza kazi! Yuko anabwia mipombe tu huko mtaani!
 
Meditation ni kwa mtu wa kawaida sio mwenye mental health, ndugu huyo ana

Minor mental health issues zinahitaji amuone mtaalamu kabla hazijafika

Kwenye hatua kubwa kama Schizophrenia au Bipolar disorder.
 
Nimerud kwenye ule MWILI wangu wa zamani yaan "UBONGE" baada ya LEG FRACTURE pia harakati za Maisha na Mishe mishe.

Naona Kama pressure yangu ipo juu juu Sana ngoja nifanye kupima maana nisije moyo ukawa umejaa mafuta mafutaa
 
Pole ndugu.

Relevance iko wapi na mada husika?
 
Nimerud kwenye ule MWILI wangu wa zamani yaan "UBONGE" baada ya LEG FRACTURE pia harakati za Maisha na Mishe mishe.

Naona Kama pressure yangu ipo juu juu Sana ngoja nifanye kupima maana nisije moyo ukawa umejaa mafuta mafutaa
Hongera Kama umepona kapime na uanze kutumia Mediterranean or DASH diet.
 
Alaf kitu chingine, Ushimen alikuwa anazungumzia mambo ya personality, ambayo ni mada nyingine kabisa haihusiani na hii
Acha uswahili dogo ushimen kazungumzia kuhusu personality au mimi

Wewe unajua kitu kinachoitwa " personality disorders" au una izungumzia
Kimtaani mtaani.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…