Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Ngoja nikupe msaada hapa hapaHio #3 na #4 hapana, sijanyanyasika utotoni na nimeishi na wazazi wote wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikupe msaada hapa hapaHio #3 na #4 hapana, sijanyanyasika utotoni na nimeishi na wazazi wote wawili
Njia 6 za kukabiliana na siku mbayaHio #3 na #4 hapana, sijanyanyasika utotoni na nimeishi na wazazi wote wawili
Hiyo inaitwa conflict within! Tatizo lako unajilinganisha na watu umeshindwa kujikubali! Kumbuka wewe unaingiza hata hicho kidogo kuna wenzio huko mtaani hawana mbele wa nyuma wamebakiza kunywa Pombe tu! Juzi kati hapa kuna dogo kapata kazi ya kupozea machungu kajichanganya akakimbia naNasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much.
Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana, bac nakosa raha kabisa, naanza kuona kama napoteza muda kupumzika.
Hata nikijifunza new skills ambazo naona kabisa hizi zitani-boost kiasi flani kazini bado kuna kitu nafsini mwangu kinaniambia wewe bado sana.
Kila nalofanya naona kama si kitu, siipendi hii hali, nataka initoke.
Juzi kati mm na mshkaji wangu tumetoka kupiga project flani ivi tumepiga hela nzuri tuu ila nilivoipata tuu ile hela mawazo yakanijia kuna vijana wenzako wanapata hii within a day, mimi imenichukua takribani mwezi mzima, bac furaha yote ikaisha. Hapo ndo nikaanza kujitathmini na kuona kwamba hii hali sasa inaninyima raha na inabidi nitafute ushauri au counselling.
Hata nikiwaza niende kuongeza elimu kuna mawazo yananijia kuna watu wameishia darasa la saba na wana biashara zimesimama hapa mjini unataka uongeze elimu ili iweje, bac najikuta naghairi na kuona kama naenda kupoteza hela na muda.
Yaan ni kama vile nashindana na watu alaf hao watu wenyew siwaoni, nawabuni tu kichwani mwangu.
Inaboa sana hii hali, kuna muda natamani nisikie furaha, hata kama ni hatua ndogo kiasi gani nimepiga ila wapi.
Hivi ni mimi tuu ninayesumbuliwa na hii hali?
Hebu tushauriane, mlioweza kuondokana na hii hali mliwezaje?
Haya bhana.Tunakumbusha tu, huwezi kuwa na raha kama wanaume wenzako wanakutamaniView attachment 3089537
Nikitulia ntausoma huu uzi vzur
Meditation ni kwa mtu wa kawaida sio mwenye mental health, ndugu huyo anaUmesoma nilichoandika ?
Well-being nilioandika nimemaanisha nini ?
Well -being Ina lenga utimamu wa akili , utimamu ya Afya na mwili
Sasa katika kuipambania well-being yake ndo anaangalia therapeutics mbali mbali za yeye kuwa sawa.
Mfano nimetoa hints Kama kushukuru kufanya Gratitude hii ni therapeutic katika kuondoa depression na fear of unknown. N.k
Kuna meditation
so kabla ya kujibu uwe unasoma na kuelewa
Nimerud kwenye ule MWILI wangu wa zamani yaan "UBONGE" baada ya LEG FRACTURE pia harakati za Maisha na Mishe mishe.Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much.
Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana, bac nakosa raha kabisa, naanza kuona kama napoteza muda kupumzika.
Hata nikijifunza new skills ambazo naona kabisa hizi zitani-boost kiasi flani kazini bado kuna kitu nafsini mwangu kinaniambia wewe bado sana.
Kila nalofanya naona kama si kitu, siipendi hii hali, nataka initoke.
Juzi kati mm na mshkaji wangu tumetoka kupiga project flani ivi tumepiga hela nzuri tuu ila nilivoipata tuu ile hela mawazo yakanijia kuna vijana wenzako wanapata hii within a day, mimi imenichukua takribani mwezi mzima, bac furaha yote ikaisha. Hapo ndo nikaanza kujitathmini na kuona kwamba hii hali sasa inaninyima raha na inabidi nitafute ushauri au counselling.
Hata nikiwaza niende kuongeza elimu kuna mawazo yananijia kuna watu wameishia darasa la saba na wana biashara zimesimama hapa mjini unataka uongeze elimu ili iweje, bac najikuta naghairi na kuona kama naenda kupoteza hela na muda.
Yaan ni kama vile nashindana na watu alaf hao watu wenyew siwaoni, nawabuni tu kichwani mwangu.
Inaboa sana hii hali, kuna muda natamani nisikie furaha, hata kama ni hatua ndogo kiasi gani nimepiga ila wapi.
Hivi ni mimi tuu ninayesumbuliwa na hii hali?
Hebu tushauriane, mlioweza kuondokana na hii hali mliwezaje?
Pole ndugu.Nimerud kwenye ule MWILI wangu wa zamani yaan "UBONGE" baada ya LEG FRACTURE pia harakati za Maisha na Mishe mishe.
Naona Kama pressure yangu ipo juu juu Sana ngoja nifanye kupima maana nisije moyo ukawa umejaa mafuta mafutaa
Hongera Kama umepona kapime na uanze kutumia Mediterranean or DASH diet.Nimerud kwenye ule MWILI wangu wa zamani yaan "UBONGE" baada ya LEG FRACTURE pia harakati za Maisha na Mishe mishe.
Naona Kama pressure yangu ipo juu juu Sana ngoja nifanye kupima maana nisije moyo ukawa umejaa mafuta mafutaa
conclusion wengi WETU tuna hofu na kesho zetu na wasiwasi wa maissha kila mtu kwa level yake..Pole ndugu.
Relevance iko wapi na mada husika?
Asante mkuu, kuishi sedentary lifestyle ni kubaya Sanaa.Hongera Kama umepona kapime na uanze kutumia Mediterranean or DASH diet.
Sana mkuu sedentary na vyakula vyetu vingi ni processed, mafuta mengiAsante mkuu, kuishi sedentary lifestyle ni kubaya Sanaa.
Acha uswahili dogo ushimen kazungumzia kuhusu personality au mimiAlaf kitu chingine, Ushimen alikuwa anazungumzia mambo ya personality, ambayo ni mada nyingine kabisa haihusiani na hii
Nikweli kabisa mkuuSana mkuu sedentary na vyakula vyetu vingi ni processed, mafuta mengi
na chumvi lazima hali iwe tofauti na age above 35 yrs NCDs zinakuwa
zinachungulia.
True words, Ahsante kwa kufafanunua.conclusion wengi WETU tuna hofu na kesho zetu na wasiwasi wa maissha kila mtu kwa level yake..