Pre GE2025 Singida: Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Watu wasiojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Itakuwa vijana wa Mbowe, nyie mnagombea uenyekiti wa Chadema Taifa mmalizane wenyewe huko Chadema
Hata wakati ule alionyesha nia ya kuutaka uenyekiti wa chama ndo yakamkuta ya kutukuta.
Sasa Mwendazake hayupo, Samia ni rafiki yake; sijui watamsingizia nani?
 
Unajichanganya. Nenden mkamguse. Mtazika tena.
Ahahahahaha! Imenibidi niangalie umekuwa member tangu lini nikakuta ni 2021! Kiukweli nimekubaliana na wewe maana wa 2014 kama Mimi HAWEZI kutishia hivyo! Ahahahahaha! Unajua Kwanini? Waliishatishia kweli!! Ahahahahaha!!!
 
Ahahahahaha! Imenibidi niangalie umekuwa member tangu lini nikakuta ni 2021! Kiukweli nimekubaliana na wewe maana wa 2014 kama Mimi HAWEZI kutishia hivyo! Ahahahahaha! Unajua Kwanini? Waliishatishia kweli!! Ahahahahaha!!!
OK.
 
Mwandiko wako sio mgeni sana mkuu!!

Nimemmiss De Levi's aiseh hasa kwenye hili bandiko!

Au ni kama voicer!!!?

"Ana Baraka zenu,na anaongea kuhusu Tanganyika"!

Ni kweli mkuu maagizo yenu yamebagazwa kabisa!mlitaka katiba mpya kabla ya uchaguzi serikali za mitaa lakini macomrade wenzetu walambaji asali wamebagaza maagizo yenu!!

Sasa nadhani wanataka kuiua chadema Kwa kugawa kura zake!!!

Nahisi unaandika ukiwa israel au!!?

Big up sana!Hadi umeandika hili ni dhahiri shahiri Kuna kitu unakijua wanataka kufanya sio!!!?
 
Unapiga kelele na ID fake jitokeze adharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…