Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na asili ya upendo hata kama wamegombana kivipi kumbuka hao watu wawili waliowahi kupenda hadi wakazaa haikuwa bahati mbaya.Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag.
Aisee nilipata mmoja alikuwa na mtoto wa kiume kama 6 years sikuona tatizo lake kivile labda bado mdogo lakini kuna mda anawivu kabisa unaona ukiwa na mama yake au ukiwa unatafuna ile kitu ya kati sometime ata salamu akupi yani nikajiuliza huyu mbeleni si itakuwa balaa kabisa, kibaya zaidi dogo kila mwaka anatambulishwa baba mpya namuonea huruma sana yule mtoto kwa kweli.Habari za mda huu wanajamvi.
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume wenye hofu ya kuingia kwenye ndoa na wanawake waliozaa na mwanaume mwingine.
Mimi kama mimi sina tatizo na single mothers, ila nina tatizo na single mothers wenye watoto wa kiume. hawa watoto wa kiume wakiwa wakubwa wanakuwa wasumbufu kwa baba zao wa kambo na wanaweza kufikia wakati wakatamani hata kupigana na baba wa kambo endapo kutatokea hitilafu kidogo.
Mlianza kwa kuwakataa kabisa kwamba hamuezi kuaanza mechi mmetanguliwa mmoja bila.sasa mmeanza kusema akiwa na mtoto wa kike ni sawa.taratibu mmeanza kukubali,yale yale ya tz na corona
Mkuu umenielewa sana. huyo dogo huko mbeleni atakuja kupasua mtu.Aisee nilipata mmoja alikuwa na mtoto wa kiume kama 6 years sikuona tatizo lake kivile labda bado mdogo lakini kuna mda anawivu kabisa unaona ukiwa na mama yake au ukiwa unatafuna ile kitu ya kati sometime ata salamu akupi yani nikajiuliza huyu mbeleni si itakuwa balaa kabisa, kibaya zaidi dogo kila mwaka anatambulishwa baba mpya namuonea huruma sana yule mtoto kwa kweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeleta ndizi tuunge na huu utumbo
Tulishasema singo maza mpka akuoneshe kaburi la ex wake
Usioe
DuhHakuna Single Mother Mpole Duniani! Wote Wana elements za ukatili wa kingono...
Ni kama ndio UZI unavyo sema kwamba wengi wao ni above 28 years of age na wametulia kuwaangalia watoto/mtoto wake and hence akiwa busy na hayo mambo yake ndio mtu anamtokea; au ulikua unamaana watulie hadi lini?Single moms wengi walitakiwa watulize kwanza akili warekebishe makosa waliyofanya kama yapo na wajijenge kimaisha kabla ya kukurupuka kuanzisha mahusiano mapya
Muda huu ndio nipo kwa mzee sadala tunapakia sementi itakayotumika kujenga jiwe la msingi lenye jina lako juu yake.....Mwanamke umedharaulika umepata wa kukuheshimisha unarudi tena kwa aliyekudharau akumwagie...Nife aje atombع kaburi langu.Asante mume wangu kwa kuniheshimisha.SINGLE MOTHERS TATIZO MSIMAMO
Naomba majina yako matatu unayotumia katika nyaraka rasmi. Ndio naingia hapa Crdb mtaa wa azikiwe kukufungulia account ili balaza kuu la wanaume tanzania likuingizie pesa kama pongezi kwa matumizi yako ya akili ya kike namna inavyotakiwa.wangu kabla sijaolewa alikua anatoa 50 ya matumiz kila mwezi cm anapiga akijisikia unaweza mbep Mara kumi anakujibu unashida gani?
Nilipompata wangu huyu akaanza cm za kila Mara nikamuuliza ni hii elf 50 tu au unakingine??
Nikamwambia mtoto akikua atakutafuta kuku ww nikamblock kila mahali ninamiaka 2 Sasa sijui hata kafia wapi namshukuru Mungu namudu malezi ya mtoto wangu na huyu baba nikikwama hana tatizo kwa mtoto ananisapot...
Acha tu nimpende huyu baba pamoja na mapungufu yake kanitoa mbali ...
Ubabe gani analeta tena?!Na bado wakipata wakuwastiri wanaendeleza ubabe wao..sijui mwanamke akishakuwa single mother Kuna fuse ya ubinadamu inatoweka kabisa....Case Study Vick Kamata
Dah jamaa kama sio mpelelezi basi ni mwanasaikolojia.Hold on 'bwamdogo' kuna maswali hapo ukijibu ntafikiria hoja yako upya
1. Kitu gani kinamfanya single mother awe anajitambua?
2. Kama jibu ya hapo juu ni kuwa na mtoto/majukumu vipi ukiwa na mke ukazaa naye hawezi jitambua?
3. Kama jibu la hapo juu (2) ni hawezi ni kwanini ilihali na yeye ana mtoto/majukumu?
4. Kama jibu la hapo juu (3) ni kuwa ana mtoto ila majukumu kulea ni ya kwako mume, vipi huyu single mother ukimganya mke majukumu yanakuwa ya nani?
5. Kama jibu la hapo juu (4) ni majukumu yanakuwa ya kwake/ya kwenu/ya kwako, kuna utofauti gani na ukiwa na mwanamke mkazaa na kuishi pamoja?
Mkuu ukinijibu ntarudi maana naona umependa limao kwa rangi ya ganda hujui ndani ni chachu kiasi gani, limso sio chungwa Mkuu ni yanafanana tu.
Unakapa makonzi tu... Ni kukosa adabuAisee nilipata mmoja alikuwa na mtoto wa kiume kama 6 years sikuona tatizo lake kivile labda bado mdogo lakini kuna mda anawivu kabisa unaona ukiwa na mama yake au ukiwa unatafuna ile kitu ya kati sometime ata salamu akupi yani nikajiuliza huyu mbeleni si itakuwa balaa kabisa, kibaya zaidi dogo kila mwaka anatambulishwa baba mpya namuonea huruma sana yule mtoto kwa kweli.
Daa halafu wewe jamani [emoji25][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unakapa makonzi tu... Ni kukosa adabu