Single mothers nawaibia siri nyingine

Single mothers nawaibia siri nyingine

Naona umetoa mbinu ili Joe mmama wakati unajiandalia kademu kengine katoto kake wewe

Bazazi😂😂
 
Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag.
Kutokana na asili ya upendo hata kama wamegombana kivipi kumbuka hao watu wawili waliowahi kupenda hadi wakazaa haikuwa bahati mbaya.

Baada ya muda mrefu wa kukaa mbali mbali hasira zao huwa zinaisha na wanapokutana tu urafiki wao unaanza upya.

Yaani Single mother umpendee kitu kingine lakini pia utarajie lolote laweza kutokea.
 
Kiukweli singo mom ni shida na sishauri Sana mtu kuoa
Mimi Nina demu nimezaa nae tukakorofishana akaolewa siku za mwanzo aliniblock kabisa lkn kadri siku zinavyoenda anarudi upya sio wakuamini hawa
 
Habari za mda huu wanajamvi.

Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume wenye hofu ya kuingia kwenye ndoa na wanawake waliozaa na mwanaume mwingine.
Mimi kama mimi sina tatizo na single mothers, ila nina tatizo na single mothers wenye watoto wa kiume. hawa watoto wa kiume wakiwa wakubwa wanakuwa wasumbufu kwa baba zao wa kambo na wanaweza kufikia wakati wakatamani hata kupigana na baba wa kambo endapo kutatokea hitilafu kidogo.
Aisee nilipata mmoja alikuwa na mtoto wa kiume kama 6 years sikuona tatizo lake kivile labda bado mdogo lakini kuna mda anawivu kabisa unaona ukiwa na mama yake au ukiwa unatafuna ile kitu ya kati sometime ata salamu akupi yani nikajiuliza huyu mbeleni si itakuwa balaa kabisa, kibaya zaidi dogo kila mwaka anatambulishwa baba mpya namuonea huruma sana yule mtoto kwa kweli.
 
Mlianza kwa kuwakataa kabisa kwamba hamuezi kuaanza mechi mmetanguliwa mmoja bila.sasa mmeanza kusema akiwa na mtoto wa kike ni sawa.taratibu mmeanza kukubali,yale yale ya tz na corona

Mtoto wa kike ni rahisi kuja kujilipa.[emoji2957]
 
Aisee nilipata mmoja alikuwa na mtoto wa kiume kama 6 years sikuona tatizo lake kivile labda bado mdogo lakini kuna mda anawivu kabisa unaona ukiwa na mama yake au ukiwa unatafuna ile kitu ya kati sometime ata salamu akupi yani nikajiuliza huyu mbeleni si itakuwa balaa kabisa, kibaya zaidi dogo kila mwaka anatambulishwa baba mpya namuonea huruma sana yule mtoto kwa kweli.
Mkuu umenielewa sana. huyo dogo huko mbeleni atakuja kupasua mtu.
 
Single moms wengi walitakiwa watulize kwanza akili warekebishe makosa waliyofanya kama yapo na wajijenge kimaisha kabla ya kukurupuka kuanzisha mahusiano mapya
Ni kama ndio UZI unavyo sema kwamba wengi wao ni above 28 years of age na wametulia kuwaangalia watoto/mtoto wake and hence akiwa busy na hayo mambo yake ndio mtu anamtokea; au ulikua unamaana watulie hadi lini?
 
Mwanamke umedharaulika umepata wa kukuheshimisha unarudi tena kwa aliyekudharau akumwagie...Nife aje atombع kaburi langu.Asante mume wangu kwa kuniheshimisha.SINGLE MOTHERS TATIZO MSIMAMO
Muda huu ndio nipo kwa mzee sadala tunapakia sementi itakayotumika kujenga jiwe la msingi lenye jina lako juu yake.....
 
wangu kabla sijaolewa alikua anatoa 50 ya matumiz kila mwezi cm anapiga akijisikia unaweza mbep Mara kumi anakujibu unashida gani?

Nilipompata wangu huyu akaanza cm za kila Mara nikamuuliza ni hii elf 50 tu au unakingine??

Nikamwambia mtoto akikua atakutafuta kuku ww nikamblock kila mahali ninamiaka 2 Sasa sijui hata kafia wapi namshukuru Mungu namudu malezi ya mtoto wangu na huyu baba nikikwama hana tatizo kwa mtoto ananisapot...

Acha tu nimpende huyu baba pamoja na mapungufu yake kanitoa mbali ...
Naomba majina yako matatu unayotumia katika nyaraka rasmi. Ndio naingia hapa Crdb mtaa wa azikiwe kukufungulia account ili balaza kuu la wanaume tanzania likuingizie pesa kama pongezi kwa matumizi yako ya akili ya kike namna inavyotakiwa.
 
Hold on 'bwamdogo' kuna maswali hapo ukijibu ntafikiria hoja yako upya

1. Kitu gani kinamfanya single mother awe anajitambua?

2. Kama jibu ya hapo juu ni kuwa na mtoto/majukumu vipi ukiwa na mke ukazaa naye hawezi jitambua?

3. Kama jibu la hapo juu (2) ni hawezi ni kwanini ilihali na yeye ana mtoto/majukumu?

4. Kama jibu la hapo juu (3) ni kuwa ana mtoto ila majukumu kulea ni ya kwako mume, vipi huyu single mother ukimganya mke majukumu yanakuwa ya nani?

5. Kama jibu la hapo juu (4) ni majukumu yanakuwa ya kwake/ya kwenu/ya kwako, kuna utofauti gani na ukiwa na mwanamke mkazaa na kuishi pamoja?

Mkuu ukinijibu ntarudi maana naona umependa limao kwa rangi ya ganda hujui ndani ni chachu kiasi gani, limso sio chungwa Mkuu ni yanafanana tu.
Dah jamaa kama sio mpelelezi basi ni mwanasaikolojia.
 
Aisee nilipata mmoja alikuwa na mtoto wa kiume kama 6 years sikuona tatizo lake kivile labda bado mdogo lakini kuna mda anawivu kabisa unaona ukiwa na mama yake au ukiwa unatafuna ile kitu ya kati sometime ata salamu akupi yani nikajiuliza huyu mbeleni si itakuwa balaa kabisa, kibaya zaidi dogo kila mwaka anatambulishwa baba mpya namuonea huruma sana yule mtoto kwa kweli.
Unakapa makonzi tu... Ni kukosa adabu
 
Kama kiwango chako cha wivu kiko juu tafadhali usioe single mother.
 
Back
Top Bottom