Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Huyu jamaa tumesoma wote lakini ni mtu mwenye asili ya ubishi lakini pia ni aina flani ya watu wanaojifanya wajuaji anyway sasa twende kwenye mada yetu halisia
Kipindi anataka kuoa washikaji wake wa karibu tulimsihi sana huyu binti ukimuoa huko mbeleni atakuja kukupa shida simply tunawaelewa single mother ni ngumu kuvunja bond kati yake na mwanaume aliyezaa nae lakini msela alijifanya mwamba coz binti alimweleza jamaa aliyeza nae alimtekelekeza na hataki hata kumsikia sababu alikataa mimba na akamtelekeza hivyo hana hata mpango nae
Leo hii ndoa yao ina miaka mitatu jamaa kagundua binti na jamaa wanawasiliana vizuli , wanakutana na kuna kipindi jamaa akitaka mtoto kumuona binti anampeleka kumuona baba yake mzazi.
Jamaa yetu baada ya kugundua hayo amemwambia binti huyu mtoto anaomba ampeleke akalelewewe na baba yake upande wa pili huyu baba wa mtoto ana mke wake na hizo habari za kuletewa mtoto hataki kuzisikia coz hataki mgogoro kwenye ndoa yake kuleta mtoto wa njee ,
Ukienda kwenye kutoa huduma za mtoto huku jamaa hachangii chochote kile kuhusu mtoto wake anadai majukumu ya familia yake yamembana hana uwezo wa kumuhudumia mtoto lakini kila mwisho wa miezi mitatu jamaa kule huwa anataka apelekewe mtoto akamsalimie baba yake kimya kimya bila msela huku asijue
Na mbaya zaidi majukumu yote ya mtoto msela yamemuelemea huku mtoto ana baba yake......
Mpka sasa ndoa yao ina mgogoro mzito jamaa yetu saivi kama kachanyikiwa connection ya kimya kimya kati ya mke wake na jamaa inampa uchungu na majukumu yote ya mtoto wao yapo juu yake