Sijasema nataka malaika lakini kuna tabia ambazo ni ngumu kuvumilika, tofautisha kati ya maovu na mapungufu kuna yale mapungufu ambayo kila binadamu anayo na hayamdhuru mwenzake yanavumilika, lakini hayo niliyoyataja ni maovu ambayo kwa namna moja ama nyingine yatamdhuru mwenzako na una uwezo wa kuyaachaSubiria malaika aje akuoe. Kuna siku utakuja kujua kuwa una tabia ambayo pia ni kero kwa wanaume.
Sasa ndio ungesema ndio au hapana kwa sababu hiyo ilikuwa ni kwa mujibu wako, kwa mujibu wangu mimi single mothers hawafanani, hivyo wewe ndio ulistahili kuambiwa hivyo nilivyokuambiaHata akiwa ni mama ako ni single mother tu
Wewe ndo ulisema hivo kwahiyo nami nilikuwa nakazia tu
So kwa takwimu zako ulizofanyia tafiti hizo tabia ni common kwa idadi ya wanaume wangapi, maana umeassume hizo ni tabia common so wanaume wote waliopo katika ndoa automatically huwa wana adopt hizi tabia ulizolist hapa si ndio? [emoji848]Hapa tunaongelea ndoa mkuu kwahiyo unataka kuniambia kuna mwanamke furaha yake ni mume wake kuwa msaliti, mlevi, mnyanyasaji au mbabe nk, wote tunajua ndoa nyingi duniani zina wanaume wenye tabia either mojawapo kati ya hizo au zote, na hapo ndio inakuja hoja yangu kwamba kipi bora kati ya kuwa single au kuwa kwenye ndoa na mume mwenye tabia kama hizo
Sijadhania wala kuassume natazama uhalisia kwa idadi ya wanaotenda. Sababu zipo nyingi za wanaume kutokuwa responsible na kuwaacha wanawake na watoto wao mwisho wa siku lawama lazima ziende kwa mwanamke sababu ya kukosa umakini wakati wa kujiingiza kimahusiano ya kudumu na mwanaume.Na ndio hapo shida ilipo kudhani kwamba wanaume wote ni honest kiasi hicho, hivi we unadhani hata kama mwanaume angekuwa ndio kasababisha atasema kwamba ni yeye, si atamtupia lawama zote mwanamke kwa kigezo cha kwamba yeye ndiye mwenye jukumu la kuamua kubeba au kuzuia mimba kwahiyo ni kosa lake kuamua kubeba
Wewe usijifanye haujui kwamba kuna wanaume wengi hawataki kuoa ila wanataka watoto tu, kwahiyo wanachofanya wanawalaghai wanawake wawazalie kwa ahadi ya ndoa maana wanajua wakiwaambia wawazalie tu hivi hivi itakuwa ngumu, na kwa vile washajua wanawake wengi wako desperate na ndoa ndio wanatumia hiyo kama advantage so inakuwa kama kumsukuma mlevi tu
Mwisho wa siku wanawake wanazaa wakidhani wataolewa kisha mwanaume anatafuta sababu za kufanya binti aone hafai kuolewa mwisho wa siku wanaishia kugombana baba anatelekeza mtoto, sasa mwanaume kama huyu naye ukienda kumuuliza unadhani atakuambia ukweli kwamba ni yeye ndiye aliyemshawishi mwanamke amzalie, lazima tu atatetea upande wake tatizo lako unadhani eti ninyi wanaume ndio hamuwezi kuplay victims pale mnapoona mmeshaharibu
Hao wanaume wanaoomba kuzaliwa watoto halafu wanakimbia ndio wanaume wa mkoa gani hao mbona mimi sijawahi kusikia hizo kesi kuwa nyingi kama vile unavyopresent hapa kuwa ni nyingi? [emoji848]Na ndio hapo shida ilipo kudhani kwamba wanaume wote ni honest kiasi hicho, hivi we unadhani hata kama mwanaume angekuwa ndio kasababisha atasema kwamba ni yeye, si atamtupia lawama zote mwanamke kwa kigezo cha kwamba yeye ndiye mwenye jukumu la kuamua kubeba au kuzuia mimba kwahiyo ni kosa lake kuamua kubeba
Wewe usijifanye haujui kwamba kuna wanaume wengi hawataki kuoa ila wanataka watoto tu, kwahiyo wanachofanya wanawalaghai wanawake wawazalie kwa ahadi ya ndoa maana wanajua wakiwaambia wawazalie tu hivi hivi itakuwa ngumu, na kwa vile washajua wanawake wengi wako desperate na ndoa ndio wanatumia hiyo kama advantage so inakuwa kama kumsukuma mlevi tu
Mwisho wa siku wanawake wanazaa wakidhani wataolewa kisha mwanaume anatafuta sababu za kufanya binti aone hafai kuolewa mwisho wa siku wanaishia kugombana baba anatelekeza mtoto, sasa mwanaume kama huyu naye ukienda kumuuliza unadhani atakuambia ukweli kwamba ni yeye ndiye aliyemshawishi mwanamke amzalie, lazima tu atatetea upande wake tatizo lako unadhani eti ninyi wanaume ndio hamuwezi kuplay victims pale mnapoona mmeshaharibu
Kitu kimoja najua kuhusu sisi wanaume hata tukiwa irresponsible kiasi gani, ila tukikutana na mwanamke mwenye hizi sifa muhimu;Na ndio hapo shida ilipo kudhani kwamba wanaume wote ni honest kiasi hicho, hivi we unadhani hata kama mwanaume angekuwa ndio kasababisha atasema kwamba ni yeye, si atamtupia lawama zote mwanamke kwa kigezo cha kwamba yeye ndiye mwenye jukumu la kuamua kubeba au kuzuia mimba kwahiyo ni kosa lake kuamua kubeba
Wewe usijifanye haujui kwamba kuna wanaume wengi hawataki kuoa ila wanataka watoto tu, kwahiyo wanachofanya wanawalaghai wanawake wawazalie kwa ahadi ya ndoa maana wanajua wakiwaambia wawazalie tu hivi hivi itakuwa ngumu, na kwa vile washajua wanawake wengi wako desperate na ndoa ndio wanatumia hiyo kama advantage so inakuwa kama kumsukuma mlevi tu
Mwisho wa siku wanawake wanazaa wakidhani wataolewa kisha mwanaume anatafuta sababu za kufanya binti aone hafai kuolewa mwisho wa siku wanaishia kugombana baba anatelekeza mtoto, sasa mwanaume kama huyu naye ukienda kumuuliza unadhani atakuambia ukweli kwamba ni yeye ndiye aliyemshawishi mwanamke amzalie, lazima tu atatetea upande wake tatizo lako unadhani eti ninyi wanaume ndio hamuwezi kuplay victims pale mnapoona mmeshaharibu
Unataka nianze kupekua mauzi ambayo nimeona hoja zako ama?Dooh basi nimegundua kweli mna haki ya kunipinga kwa sababu huwa hamnielewi siwalaumu, sasa kwa uelewa huu unadhani mtakubaliana na ninayoyaandika kweli, hebu nioneshe ni wapi nilipowahi kujenga hoja ya aina hiyo kwenye aya yako ya pili
Unatumia laptop kumbe au hata kwenye simu mzee?Weka Cursor pale unapotaka kupavunja alafu press Enter....
Usitufokee sasa.Usivyokua na akili unakuja na lawama tu bila suluhu
Na lawama zenyewe zimejaa hisia
Unashindwa elewa hiyo miaka 20 ijayo hao watoto wako watakutana na watoto wa hao single mothers shuleni, kazini na kwenye biashara..... na si ajabu wakaoa na kuolewa na vita ikaendelea.
NI PUNGUANI NA MPUMBAVU PEKEE ATAONA SINGLE PARENTING NI TATIZO LA MTU MMOJA MMOJA WHILE MI TATIZO LA JAMII NZIMA ESPECIALLY VIJANA WAJAO
Haki gani? Imani gani?Mwenye haki ataishi kwa imani.mtuache tutaishi kwa imani
Misogynist ni ninyi wanawake ambao hamtaki mwanamke afuate uanamke mnataka awe dume jike. Ebo.Thubutuuu...nyinyi mna wanawake unhappy, hakuna mwanamke anayejitambua akakaa na mtu km misogynist
Kuna wanaotoboa hadi condoms. Na mwingine ukimwambia condom hapendi anasema zinamletea muwasho na michubuko. Unalaumu vipi mwanaume hapo?Bandiko lako liko biased... hao single mama hawajajipa mimba wenyewe.
Mwanaume responsible anatumia kinga kama anaona mwanamke hana mpango nae
Kuna wanawake anataka mwanaume wake awe mlevi ili afurahie Maisha. Inafika point mwanaume hataki mwanamke ananunua kilevi anamletea ndani na kumbembeleza anywe ili awe kama wanaume wenzake.Sijasema nataka malaika lakini kuna tabia ambazo ni ngumu kuvumilika, tofautisha kati ya maovu na mapungufu kuna yale mapungufu ambayo kila binadamu anayo na hayamdhuru mwenzake yanavumilika, lakini hayo niliyoyataja ni maovu ambayo kwa namna moja ama nyingine yatamdhuru mwenzako na una uwezo wa kuyaacha
Ni asilimia ngapi???Kuna wanaotoboa hadi condoms. Na mwingine ukimwambia condom hapendi anasema zinamletea muwasho na michubuko. Unalaumu vipi mwanaume hapo?
Hivi ile kauli ya kwamba "hakuna mwanaume asiyechepuka" huwa inatolewa na akina naniSo kwa takwimu zako ulizofanyia tafiti hizo tabia ni common kwa idadi ya wanaume wangapi, maana umeassume hizo ni tabia common so wanaume wote waliopo katika ndoa automatically huwa wana adopt hizi tabia ulizolist hapa si ndio? [emoji848]
Sasa mbona wewe umekazania makosa ya wanawake tu, ya wanaume ni either unayakwepa, au unayaona yako sawaSijadhania wala kuassume natazama uhalisia kwa idadi ya wanaotenda. Sababu zipo nyingi za wanaume kutokuwa responsible na kuwaacha wanawake na watoto wao mwisho wa siku lawama lazima ziende kwa mwanamke sababu ya kukosa umakini wakati wa kujiingiza kimahusiano ya kudumu na mwanaume.
Sababu ni kama:
1. Kugamble na mahusiano ya kuwa na mwanaume zaidi ya m'moja akilenga kubahatisha ambaye ana sifa anazotaka ndio amalizane nae, wanasahau mwanamke malaya huwa anajulikana na wanaume hubaki ili kupiga tu mzigo siku akijishikisha ujauzito wa mojawapo ndipo anashangaa kila mwanaume anamkataa kumbe walikuwa wanajua kuwa wanashare na wanatumiwa na mwanamke, hapo utamlaumu mwanaume au mwanamke?
2. Wanawake wanatabia mbaya sana ya kubambikia mimba wanaume siku hizi, ukitaka kuprove hili kumbuka tukio la makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, alitaka kuwaforce wanaume waliopelekwa ofisini kwake na wanawake waliomlalamikia kuwa wametelekezwa, makonda alipowaita wanaume wengi wakaomba aruhusu wakapime DNA kwa kibali maalumu cha mkuu wa mkoa ili wapate uhakika wa watoto kuwa ni wao, ulisoma walichoandika ustawi wa jamii na madaktari wa muhimbili hadi zoezi likasitishwa ghafla? [emoji848]
3. Kuchagua wanaume ambao ni dhaifu na hawana uwezo kuwaongoza au kuwa baba wa familia. Hili usilaumu mwanaume laumu mwanamke kwa kuchagua mtu ambaye hawezi kuwa kiongozi wake kwenye maisha.
4. Wanawake kupenda pesa zaidi hadi kuwa vipofu na kuingia kwenye mitego ya wanaume wanaotumia pesa kupata ngono na muda mwingine wanaume za watu wenye ndoa zao.
5. Kutokuwa wife material badala yake kuwa tu ni kasha la mwanamke ila vitendo si vya kike na kubakia kuwa tu mzigo kwenye mahusiano nani ataoa hapo aweke ndani.
Kitu kama hujawahi kukisikia au kukiona haimaanishi hakipo maana nitajuaje je kama unafahamu ila umeamua tu kunibishia hapa ili upate cha kujitetea, hata mimi naweza nikaamua tu kusema kwamba sijawahi kuwasikia wala kuwaona hao single mothers ambao wanawaambia wanaume "nipe mimba kisha nitalea mwenyewe" ili tu nipate cha kujitetea lakini je hiyo inamaanisha kwamba hawapo, wanaume wa hivyo wapo wengi sana ila hakuna anayewaongelea wala kuwahukumu sababu jamii imeshaamua kuwa biased kwamba no matter the circumstances single mothers are always wrong and the ones to be blamedHao wanaume wanaoomba kuzaliwa watoto halafu wanakimbia ndio wanaume wa mkoa gani hao mbona mimi sijawahi kusikia hizo kesi kuwa nyingi kama vile unavyopresent hapa kuwa ni nyingi? [emoji848]
Unajua kitu kimoja kinachonichekesha kuhusu ninyi wanaume, ni kwamba mnayoyasema au mnayoyaandika humu mitandaoni, ni tofauti kabisa na mnayoyafanya kwenye uhalisiaKitu kimoja najua kuhusu sisi wanaume hata tukiwa irresponsible kiasi gani, ila tukikutana na mwanamke mwenye hizi sifa muhimu;
1. Cooperative and submissive
2. God believer and biblical/Qur'anic
3. Feminine
4. Financial Literate and smart
5. Attached to husband and not friends or relatives.
6. Family oriented
Just hizi chache tu hapa, tayari huyu mwanamke hutamkuta mtaani hata kama ni alipata mtoto na mjinga mjinga moja akamtelekeza au mwanaume wake alifariki then huyu hamalizi miezi sita mtaani atakutana na mwanaume atapita nae akaweke ndani wafanye maisha.
Most of times ukikuta mwanamke amepata mtoto halafu katelekezwa i guarantee you huyo ni damaged goods.
Shida yako unadhani tunatunga haya mambo wakati sisi wanaume ndicho tunakutana nacho. Unakutana na mwenzako ambaye katoka mtongoza huyo huyo mwanamke ambaye wewe kakushinda halafu wote mnajikuta mnaconclude kitu kimoja as if mliambizana. Why wote muobserve tabia au character ile ile kwa mwanamke m'moja bila hata kuongea chochote before hamjajuana! [emoji848]
Hivi ht umeelewa kwa nini nimemquote huyo mtu?Jikaze, dawa nzuri siku zote huwa inauma na sindano na vidonge vyake huwa vichungu balaa.