Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Hivi kwanini mnaassume kwamba single mothers wote wamejitakia wenyewe, kwani kabinti hako ndio kanawakilisha single mothers wote au mnajitoa ufahamu tu, kama unaamini kwamba hakuna wanaume ambao ni chanzo cha single mothers basi nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri
 
Ndicho exactly nilichomaanisha hapo, tunatofautiana kwa sababu ya kushindwa kunielewa kama hivi, lakini si kwamba ninayoandika huwa ni uwongo
 
Ndicho exactly nilichomaanisha hapo, tunatofautiana kwa sababu ya kushindwa kunielewa kama hivi, lakini si kwamba ninayoandika huwa ni uwongo
Kwa mtizamo wangu ni uwongo na hamna uhalisia.
 
Wakati ukisema haya usisahau jambo moja kwamba miaka ya nyuma baba alikuwa hakai sana nyumbani na ndie alikuwa "only bread winner" wa familia jambo lililopekea yeye kuwa mbali na watoto muda mwingine hata miaka akituma matumizi kwa mama.

Hawa watoto waliokuzwa katika familia za namna hii ambapo baba alikuwa absentee wa familia muda mwingi na kumuacha mama nyumbani pekee na watoto (sio kwa nia mbaya ila ni mgawanyo wa majukumu)ndipo ikawa chanzo cha kuzaliwa kizazi cha emasculated males ambao wanaweza kuwa successful kiuchumi, kitaaluma kuwa na elimu kubwa ila ndani ya nafsi zao wakawa wanamuona mama kama shujaa wa familia zaidi sababu visually na physically,muda wote wakiwa wanakua hadi kufikia utu uzima walimuona zaidi mama kuliko baba, hatimae "Nani kama mama" ikazaliwa.

Wanaume wa hivi huwa 80% ya spirit zao ni uanamke wapo oriented na configured kuwa upande wa kike zaidi katika mijadala kuliko kwa wanaume wenzao.

Hawa ndio unaosema wanaume ambao hawakufanya lolote. But trust me kuna shida kubwa sana katika malezi ya mtoto wa kiume kuanzia miaka ya 1960's hadi sasa ndio maana tunaona hadi wanawake wanataka kuwa wanaume sababu spirit ya kiume wanainusa kwa mbaali sana wanapokuwa around hawa wanaume waliokulia malize yakuwa emasculated na kuwa feminized males kwenye jamii.
 
Nimependa namna umeonyesha msimamo wako na haunapindisha maneno kufurahisha mtu. Hii ndio namna sahihi mtoto wa kiume unatakiwa kujenga hoja kwenye mijadala inayozingatia uhalisa na sio hisia. Hii ndio true logical conversation inavyotakiwa kwenda.
 
Njooni kwangu single mama mpate pumziko.
 
Kwa mtizamo wangu ni uwongo na hamna uhalisia.
Good bora umekuwa mkweli kwamba huo ni mtazamo wako, kila mtu huwa yuko huru kutoa mitazamo yake kulingana na experiences zake, lakini kwa bahati mbaya mimi huwa sitoi mitizamo yangu bali huwa najadili uhalisia uliopo kwenye jamii tu
 
Nimependa namna umeonyesha msimamo wako na haunapindisha maneno kufurahisha mtu. Hii ndio namna sahihi mtoto wa kiume unatakiwa kujenga hoja kwenye mijadala inayozingatia uhalisa na sio hisia. Hii ndio true logical conversation inavyotakiwa kwenda.
Wala sijataka anifurahishe na nimependa pia alivyosimamia huo msimamo wake mliotofautiana, nilikuwa namuonesha tu kwamba huwa niko sahihi kwa ninayosema kuhusu wanaume ambayo yeye huwa ananipinga kila siku, ila nashangaa leo hii amebadilika ameandika yale yale ambayo huwa nikiandika mimi ananiita feminist
 
Nimependa namna umeonyesha msimamo wako na haunapindisha maneno kufurahisha mtu. Hii ndio namna sahihi mtoto wa kiume unatakiwa kujenga hoja kwenye mijadala inayozingatia uhalisa na sio hisia. Hii ndio true logical conversation inavyotakiwa kwenda.
Mimi sipo fixed au rigid kama jiwe na sipo kusapoti mtu kisa jinsia yangu. Mimi kwenye familia yangu sina uzee ulee ila sometimes na kuwa mfanya maamuzi. Mfanya maamuzi mzuri lazima uwe na kipawa cha kusikiliza haijalishi jinsia ya mtu, then kwa kutumia hekima na busara na chaganua then nafanya maamuzi.

So ktk hili la single mother nimetumia procedure ni zitumiazo na kuchanganua niyaonayo kupitia single mother ninano wafahmu na kuwajua na ndio maana nikaja na output ile ninayo ifahamu.

Tusijipe umalaika, sana ktk swala la usingle mother, kila jinsia ina mchango wake ktk hili tatizo na tunatengeneza kizazi cha ajabu mno,amacho hakina hatia bali kimetengenezwa kupitia nyege zetu, ila migogoro yetu ndio inawaumiza.

Mimi sio mtu wa kutumia hisia nincho ongea ni uhalisia, mtoto wa kiume hutakiwi kususa kumlea mwanao haijalishi huyu binti mmeachana nae vipi.
 
Hebu ngoja kwanza kabla sijakujibu,hivi huwa mnafanyaje hadi unaweza gawanya aya na kurespond separately namna hii? [emoji848]
 
Just google it you will find out, you sound like you already have your own definition of happiness in your head, but according to the general context of happiness a lot of people are not happy in their marriage
What's the general context of happiness are you referring here? [emoji848]

Unataka kunambia furaha yangu mimi na wewe zinapatikana kutokana na kupata vitu vya kufanana?
 
Naunga mkono hoja
 
Deflection, you see? Clearly tabia yenu wanawake wenye damu ya ubishi.

Sasa nimekupa mfano huo hapo na amesema kwa kinywa chake, huyo ni m'moja wapo miongoni wa maelfu tunaokutana nao huku uraiani.

Usieme tuna assume, assumption means tunatengeneza majibu ila kitu kinachoonekana kwa macho na kusikika na masikio hakiwezo kuwa characterized as an assumption.

Wewe kama unabisha ongea na ndugu yako wa kiume au hata colleagues wa kiume na uwaulize kuhusu tabia za baadhi ya mabinti alikutana nao na wakawa na mahusiano in a short time. Wengi husema nataka mtoto nitalea mwenyewe. Wengi sana.

Na ndio hawa wanabadili gear angani mambo yakiwa magumu na kuanza kulaumu kuwa mwanaume aliyezaa nae hatunzi mtoto.

Inaanza na mwanamke mwenyewe. Women are the ones who decide nani awe baba wa mtoto wangu, and the issue of young women in our current generation and times think a strong man is the one who has financial sources only and forget about major important attributes za mwanaume mwenye sifa za kuwa baba wa familia na mume bora.

Wewe tu kwa mfano why you are not sleeping around making babies with different men? [emoji848] Because unatumia akili. Sasa wenzako hizo akili hawana ndio tupo hapa kuwalaumu why unaingilia sasa? [emoji19][emoji19][emoji19]
 
wanateseka sana kwa kujitakia,wanauza ndizi,migogo mibichi n karanga mabarabarani wengine wanagongwa n bodaboda katika harakati zao hizo,,wengine wnaamka alfajir kwenda minadani kutafuta makongoro au miguu ya nguruewe,,,,,,yaani MUNGU alisema,mwanaume atatafuta kwa jasho na mwanamke atazaa kwa shida,,sasa wanawake wanazaa kwa shida na kutafuta kwa jasho!!
 
Good bora umekuwa mkweli kwamba huo ni mtazamo wako, kila mtu huwa yuko huru kutoa mitazamo yake kulingana na experiences zake, lakini kwa bahati mbaya mimi huwa sitoi mitizamo yangu bali huwa najadili uhalisia uliopo kwenye jamii tu
Sio kweli, unachoongea hapa huwa tunasoma na kukitafakari kwa kulinganisha na tunachokiona, so huwa unaangukia katika kundi la upotoshaji au fikra za ndoto za mchana a.k.a theories.

Wewe unaongea vitu kinadharia sana. Mfano unaamini mwanamke anaweza kutoka nje akawa mfanyabiashara wa kusafiri mataifa mbali mbali miezi kwa miezi na still akawa mke bora kwa mumewe na mama bora kwa watoto na familia halafu still awe mwaminifu, hizi ndizo moja ya hoja zako ambazo huwa naona unasema humu ndani jambo ambalo huwa linanitafakarisha sana kuwa huwa unatumia akili ya aina gani kubuni hizi "Utopian feminist garbage dreams"[emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways, keep on dreaming, unasema unaujua uhalisia, even the famous feminists known in the planet walipofika umri wa menopause ukimya ulitawala. Keep on your agenda, fighting Men in the man's world. Unashindana na Simba kuishi mwituni, heifer please [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
What's the general context of happiness are you referring here? [emoji848]

Unataka kunambia furaha yangu mimi na wewe zinapatikana kutokana na kupata vitu vya kufanana?
Hapa tunaongelea ndoa mkuu kwahiyo unataka kuniambia kuna mwanamke furaha yake ni mume wake kuwa msaliti, mlevi, mnyanyasaji au mbabe nk, wote tunajua ndoa nyingi duniani zina wanaume wenye tabia either mojawapo kati ya hizo au zote, na hapo ndio inakuja hoja yangu kwamba kipi bora kati ya kuwa single au kuwa kwenye ndoa na mume mwenye tabia kama hizo
 
Na ndio hapo shida ilipo kudhani kwamba wanaume wote ni honest kiasi hicho, hivi we unadhani hata kama mwanaume angekuwa ndio kasababisha atasema kwamba ni yeye, si atamtupia lawama zote mwanamke kwa kigezo cha kwamba yeye ndiye mwenye jukumu la kuamua kubeba au kuzuia mimba kwahiyo ni kosa lake kuamua kubeba

Wewe usijifanye haujui kwamba kuna wanaume wengi hawataki kuoa ila wanataka watoto tu, kwahiyo wanachofanya wanawalaghai wanawake wawazalie kwa ahadi ya ndoa maana wanajua wakiwaambia wawazalie tu hivi hivi itakuwa ngumu, na kwa vile washajua wanawake wengi wako desperate na ndoa ndio wanatumia hiyo kama advantage so inakuwa kama kumsukuma mlevi tu

Mwisho wa siku wanawake wanazaa wakidhani wataolewa kisha mwanaume anatafuta sababu za kufanya binti aone hafai kuolewa mwisho wa siku wanaishia kugombana baba anatelekeza mtoto, sasa mwanaume kama huyu naye ukienda kumuuliza unadhani atakuambia ukweli kwamba ni yeye ndiye aliyemshawishi mwanamke amzalie, lazima tu atatetea upande wake tatizo lako unadhani eti ninyi wanaume ndio hamuwezi kuplay victims pale mnapoona mmeshaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…