Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

Dooh basi nimegundua kweli mna haki ya kunipinga kwa sababu huwa hamnielewi siwalaumu, sasa kwa uelewa huu unadhani mtakubaliana na ninayoyaandika kweli, hebu nioneshe ni wapi nilipowahi kujenga hoja ya aina hiyo kwenye aya yako ya pili
 
A very good point
 
Chizi ww
 
Ma single mother Huwa Yana wivu Kwa ambao siyo single mother.huwa yanawaongelea vibaya tu wanaume ili yaongeze wanachama wa chama Cha single mother
 
😂
 

Ila pia wababa wengine wamekimbia majukumu yao kiana na kuwatelekeza na watoto wao
 
😁
 
Usivyokua na akili unakuja na lawama tu bila suluhu
Na lawama zenyewe zimejaa hisia

Unashindwa elewa hiyo miaka 20 ijayo hao watoto wako watakutana na watoto wa hao single mothers shuleni, kazini na kwenye biashara..... na si ajabu wakaoa na kuolewa na vita ikaendelea.


NI PUNGUANI NA MPUMBAVU PEKEE ATAONA SINGLE PARENTING NI TATIZO LA MTU MMOJA MMOJA WHILE MI TATIZO LA JAMII NZIMA ESPECIALLY VIJANA WAJAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…