Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
- Thread starter
-
- #161
mimi nimeanzisha Mada muhimu kama hii ili uchangie na pia upunguze kutokana na michango ya wadauUsivyokua na akili unakuja na lawama tu bila suluhu
Na lawama zenyewe zimejaa hisia
Unashindwa elewa hiyo miaka 20 ijayo hao watoto wako watakutana na watoto wa hao single mothers shuleni, kazini na kwenye biashara..... na si ajabu wakaoa na kuolewa na vita ikaendelea.
NI PUNGUANI NA MPUMBAVU PEKEE ATAONA SINGLE PARENTING NI TATIZO LA MTU MMOJA MMOJA WHILE MI TATIZO LA JAMII NZIMA ESPECIALLY VIJANA WAJAO
Subiria malaika aje akuoe. Kuna siku utakuja kujua kuwa una tabia ambayo pia ni kero kwa wanaume.Hapa tunaongelea ndoa mkuu kwahiyo unataka kuniambia kuna mwanamke furaha yake ni mume wake kuwa msaliti, mlevi, mnyanyasaji au mbabe nk, wote tunajua ndoa nyingi duniani zina wanaume wenye tabia either mojawapo kati ya hizo au zote, na hapo ndio inakuja hoja yangu kwamba kipi bora kati ya kuwa single au kuwa kwenye ndoa na mume mwenye tabia kama hizo
Kaka kwanza relax.Siku vijana wa siku hizi hawapendi kubeba misalaba yao,sipo humu kumtetea mtu kisa ni jinsia moja ni upuuzi. Nina Single mother wawili ambao ni ndugu zangu na wasaidia kwa baadhi ya vitu na najua visa vyao.
Kiasili na kiumbaji mwanaume ni Mlezi na Mlinzi ,ukishindwa kufanya hivyo ww kiasilia sio mwanaume kamili na mwanaume HASUSI (hizi tabia za kike) majukumu yake,umefanya ngono haijalishi mlikutana vipi na alikufanya nini, ila kile kiumbe ni msalaba wako hauwezi kukimbia.
Mimi sitetei upumbavu kama wewe na husijipe nafasi ya malaika eti wanaume hawakosei, ila single mother wanakosea hilo na kukatalia, kwani sisi ni binaadam na kukosea ni asili yetu.
Eti ni mtetea mtu kisa mwanaume mwenzangu, mimi upumbavu huo sifanyi (mimi sio oya oya) na sina akili ya kushikiwa kwani nina uwezo wa kuchanganua na kujua yupi yuko sawa na yupi hayuko sawa.
Wanaume hatuwezi kukikimbia hiki kikombe cha mamtatizo ya Single mother,kwani ktk asilimia 100 ya tatizo basi yetu wanaume inaweza kuwa 40+.
MWANAUME KAMILI HASUSI MAJUKUMU YAKE KWANI KUSUSA NI TABIA ZA KIKE KWANI HAWA WAMEUMBWA KUSUSA NA KUDEKA.Umetia mimba mwanamke kakukera mnaachana unabeba msalaba (mtoto) wako kama MWANAUME wa kulea na kumtunza wanao.
Eti ni mtetea mtu kisa jinsia moja,mimi Us*nge huo sifanyi labda ww na kama ukikosea na kuchana kama MWANAUME.
Yaani wewe, Robert heriel,the unpaid seller mna makengeza when it comes to women!,kila mada inayohusu wanawake lazima mje kuadhibu, embu angaikeni na matatizo yenu mnaboa...Kanuni ni zilezile inapohusu single maza
●Hatulei bao la mwanaume mwingine
●Mwanaume anatakiwa aanzishe familia yake sio ajiunge kwenye familia ya mwanaume mwenzake
●Single maza waolewe na baba za watoto wao
●Single maza ni wa kupiga na kusepa
Mwanaume mpumbavu na mjinga tu ndiye anayeweza kumuoa single maza
Learn or perish
Kaogeshe ankali kenyewe hakana noma, hasira za wananchi ni kwako na huyo kitombi mwenzakoTunaogesha tunakuja
Hata akiwa ni mama ako ni single mother tuSasa mbona umeanza personal attacks hiyo ni ishara ya kupanic, wewe mama yangu unamfahamu, wanaume wengi wamelelewa na single mothers ila humu wanajifanya kuwatukana na kuwadharau kila siku
Lazima ukweli usemweYaani wewe, Robert heriel,the unpaid seller mna makengeza when it comes to women!,kila mada inayohusu wanawake lazima mje kuadhibu, embu angaikeni na matatizo yenu mnaboa...
Ngoja wale wa Beijing wajeKATAA 50/50
Thubutuuu...nyinyi mna wanawake unhappy, hakuna mwanamke anayejitambua akakaa na mtu km misogynistSisi tunaishi nao hivyohivyo
Hakafu hujajua huyo niliye mjibu alitumia lugha gani (au labda unaweza kuwa ww kwenye acc nyingine),mimi JF ukijitia mwendawazimu na malizana na ww humu humu.Kaitizame comment yangu kwanza,niliandika kiustarabu.Kaka kwanza relax.
Single mother wengi ni matokea ya mwanamke kuichukulia poa ndoa na kumuona mwanamme kama kiumbe hakina msaada kwenye maisha yake ila tu akikipoteza ndiyo vita ya maisha yake inakuwa ngumu na watoto zake.
Sisi wanaume huwa tuna enjoy mking'ang'ania watoto coz tunajua hao hao watoto ndiyo watakao kutoa jasho.
Bandiko lako liko biased... hao single mama hawajajipa mimba wenyewe.mimi nimeanzisha Mada muhimu kama hii ili uchangie na pia upunguze kutokana na michango ya wadau
ni mbaya sana io kitu aseee ni vile tunakaza ubongo tuNgoja wale wa Beijing waje
Wanawake wajitahidi kudai haki zao zile za msingi ila hii fifte fifte naona ni ngumu kidogoni mbaya sana io kitu aseee ni vile tunakaza ubongo tu
mim n mwanamke lakin nakaa upande wako naunga mkono hojaWanawake wajitahidi kudai haki zao zile za msingi ila hii fifte fifte naona ni ngumu kidogo
Kuna wengine wanatengeneza mazingira ya kuwa single mother wenyewe.Tunawalaumu sana single mothers huku sisi wanaume tukijipa nafasi ya umalaika. Tunajisifia sana kupeleka na kuwa wazuri kitandani ila output ya ile creativity tulio iweka kitandani tuna ikataa.
Jamii yetu sasa hivi inashindwa kuwajibika si wazazi ,si wanaume wala wanawake. Mabinti wanatamaa ya fedha huku wanaume tunapenda ngono ila wengi wetu siku hizi hatutaki kuwajibika. Hili tatizo sio la single mother pekee ni la jamii yote kiujumla.
Haki gani?Wanawake wajitahidi kudai haki zao zile za msingi ila hii fifte fifte naona ni ngumu kidogo
Situation kama hizo zipo ngapi na wangapi wanafanya hivyo? Pili still una room ya kumuhoji na tena nenda na mtu yoyote kama shahidi kama wakikukataa,unaendelea na mambo mengine.Kuna wengine wanatengeneza mazingira ya kuwa single mother wenyewe.
Unamwambia mwanamke kaa hapa ujifungue kwako, kakimbilia nyumbani kwao, amejifungua huku unatoa matumizi ya kulea mimba. Mtoto anazaliwa jina wanatoa ukweni, na majina yako unayotoa km baba mzazi wa mtoto wanayakataa.
Utaendelea kuwa na huyu mwanamke mjinga kisa mtoto?