Sintofahamu ya mpaka sasa Serikali haijawalipa watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei

Mishahara mbona imelipwa ? Iii bagosha
 

Kuchelewa kumesababishwa na upandishaji madaraja, mshahara wa Mei umejumuisha upandishaji madaraja, walimu wameshalipwa kwa vyeo vipya.
Kwa hivyo kuna kazi kubwa inaendelea, tulieni mambo mazuri yanachakatwa.
 
Mkuu, mpaka muda huu(jioni hii), wengine mishahara bado na haijulikani itatoka lini na wala hakuna tamko lolote.
Kwamba uko serious kuwa Serikali itoe tamko kutolipa mishahara tarehe 24??? Are you kidding or mere crazy? Baadhi ya watanzania mna PhD za ujinga mnatembea nazo na mnaingia nazo maofisini ndio maana mambo maofisini hayaendi kiuweledi.
 
tumainiEl aliandika uzi wake mwezi uliopita kwamba Serikali inakwenda kukosa kulipa mishahara, kutokana na Mikopo riba kuwa Kubwa na kufilisika kwa hazina ya Taifa kutokana na ufisadi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo TumainEl ndio nani? Acheni kutukuza watu. Huyo jamaa ni muongo muongo sana na ana chuki ya ajabu na serikali hii.
 
Serikali imeanza kuchelewesha watumishi mshahara wa mwezi wa mwezi Mei.
Je watakaopata ajira mpya 21,000 mishahara yao itapatikana Kweli?
Kuna dalili tunakoelekea watumishi wa Umma wataanza kuwa omba omba.
 
Kwamba uko serious kuwa Serikali itoe tamko kutolipa mishahara tarehe 24??? Are you kidding or mere crazy? Baadhi ya watanzania mna PhD za ujinga mnatembea nazo na mnaingia nazo maofisini ndio maana mambo maofisini hayaendi kiuweledi.
Mmezoea kuburuzwa ndio maana unashangaa.
 
Tukupe uraisi
 
Wafanyakazi Wasio wazalendo NDIO huwa na cheap Mind.....

Ndio unakuta wanashaur vijana wakajitolee Bure kwenye ofisi pesa imechelewa kidogo lawama teleee 😊😊😊
Kumbuka mshahara ni haki ya mfanyakazi sio ofa hiyo , kuna mambo ya kuvumilia na kujitolea sio hivyo unavyofikiria wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…