Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

 
Watu wazima hao wasikuumize kichwa ,hata wakitaka kutoka uchi watajijua wenyewe.Kwa kuhitimisha ila mjini kuna mitoto jamani.
 
Pia kuna sehemu inaitwa kaloleni Arusha, tena huko hakuna joto lakini watu wamejitoa ufahamu
 
Wasanii wetu ndio wanaotuongozA.Simba mara ngapi anavaa kipensi cha ajabu.
 
Mleta uzi umeshindwa kweli kuvaa hizo nguo ujipige picha ili tuone. Sa tutajadili vipi bila kuona? Wengine tuko Gamboshi tunalima na wachawi.
 
Wengine wanaiga nini?
Ma tamthilia hayo...mtu anakesha kuangalia mi series ya movies bac kazi ni kuiga mauchafu uko, nimekuja kugundua baadhi ya wanawake wamejifunza mbinu nyingi za kuchepuka kupitia hayo ma series na matamthiria
 
Mkuu we mgeni mjini?
Umekuja mjini na treni kufuatilia mafao yako nn?[emoji1787][emoji1787]
Yaani hayo ni mambo ya kuuliza kabisa au hujui kwamba huko mjini kuna pirau na biriani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…