maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanapachukulia poa pale... Ukiingia saa tano usiku hutoki unajikuta imefika saa saa 12 asubuhi.. ukitoka mule lounge unaona nje wanafagia na msanii yule wa Nako2Nako Yuko counter ya nje anamalizia kuomba omba bia pale kwa Madon.
Wamasai na Mabaunsa wote wamelewa, Dada zangu Makahaba waliochunda nao wamelewa balaa.
Mjomba ako nlikuwa nakaa nyuma ya wanyama Hotel, naenda kupumzika tu jioni mapema niko naanzia Tegeta pale China Bar pametulia ikifika saa tano Niko La Chaaz humo ndio nafanya unyama.
Niliteketeza hela pale La Chaaz to the extent nikapachukia saana.
Walaaaaa.. mpambanaji kweli kweli jamaa. Na ana akili ya kupambana. Sema hela sasa ndo sijui kama anayo aisee kwa sasa. Ako na hali si nzuri kiuchumi. Ujenzi unamaliza sana hela... na pale kila siku ujenzi... sijawahi ingia hapo ila ni jamaa yetu kwahiyo kwa kiasi chake naelewa hela imeteketea hapo.Amekiuka masharti. Ova.
Si unaona ni jina moja mkuu?Eduard na Davis ni mtu mmoja au ndugu?
I am clueless aisee. Mungu amtangulie tuuInawezekana ni mambo ya bima hayo aiseee
According to maza anaanmbia 1 bil hapoDavie amepata hasara kweli kweli..
imeungua club,ukumbi mkali kabisa wa kisasa,night club mpya kabisamaana aliikarabati,bar and classic lounge majiko yote supermarket na carwash
moto umeanzia club sasa ile soundproof ndo iliharibu mambo maana ni magodoro flani hivi...ila ukumbi umenisikitisha mno
alikopa hela akarenovate heavy investment...sijui ila kama sio mafekeche ya town...kama ni really atakua kwenye hali mbaya sana...
ukiwa mwanaume.halafu unafanya biashara..its very dangerous...marejesho ni tatizo kubwa sana kwenye uchumi huu
Kwa uchache tu inaonesha ana asili ya udhulumati kama kawaida ya wachaga wengi kurusha hela za wenzao!Naomba hata nisiseme. Na sisi tuko na changamoto nae. Hoping hatutafika kupelekana mbali
[emoji23][emoji23][emoji23] hajatudhulumu nitachuma dhambi bure. Ni kuna misiuderstanding tuu aisee. Na yatakwisha. Hatuwezi fikishana mbali. Mapito tuu haya. Atasimama tena.Kwa uchache tu inaonesha ana asili ya udhulumati kama kawaida ya wachaga wengi kurusha hela za wenzao!
Ila majority ni kama wamefurahi jamaa kuanguka sababu wana grudges nae. Sijajua hili unalizungumziaje?[emoji23][emoji23][emoji23] hajatudhulumu nitachuma dhambi bure. Ni kuna misiuderstanding tuu aisee. Na yatakwisha. Hatuwezi fikishana mbali. Mapito tuu haya. Atasimama tena.
Ukikutana nao asubuhi make up imefagiwa na jasho la usiku kucha unaweza kuhisi ni wachezaji wa mpira wa Njombe mji. [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Its not funny ila imebidi nicheke. Hapo lwa wadada poa waliochundaaa... hiyo make up yao ndo siwezi pata picha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Asee! Kumbe alitupia hela pale?According to maza anaanmbia 1 bil hapo
According to maza anaanmbia 1 bil hapo
cool down kalumbu....mpuuzeSababu Mama ako alikupata kwenye Kudanga unadhani kila mtu Mdangaji, Mbwa wewe!!!
ngoja ukae kwenye ignore list!!!!
Kudanga ni kazi Kama kazi nyingine... Ziheshimiwe na serikali izirasimishe Kama ulaya ili ipate mapato ya kodi.
DjHuwa unapiga kazi gani? Ni baunsa!! [emoji123]
kwahyo mimi Kahaba mkuu....Kudanga ni kazi Kama kazi nyingine... Ziheshimiwe na serikali izirasimishe Kama ulaya ili ipate mapato ya kodi.
Nawaheshimu Makahaba na Malaya wote.. mlinisaidia Sana kubadilisha ladha.
Nawasilisha!
Si kwel...kunA madem wa sura za pombe tu pale..nyuso zmeivaa..sjui unanielewa lakin??kuna totoz tamu sana hapo
Hivi na wewe hujui roho za ki-maskini? Unadhani mtu ukiwa na uwezo kidogo katikatika ya maskini halafu ukiteleza watasikitika? Tena nchi yenyewe Tanzania?Ila majority ni kama wamefurahi jamaa kuanguka sababu wana grudges nae. Sijajua hili unalizungumziaje?