Sinza duka linafunguliwa saa 5, kuna T shirt 4, Jinsi 3 ila ndani full AC, Wifi, Dstv, Nje imepaki ndinga ya milioni 50+, wenzetu wanafanye?

watu wa unga
 
Woote mnazunguka mbuyu, maduka mengi ya Sinza, Makumbusho, Tabata, Kinondoni na Kariakoo Ni Display Tu. Mzigo Upo Store... Ishu ni Kukwepa Kodi Tu TRA wakiingia... We nenda uliza nataka Kaptula XXXXL atakwambia hapa zimeniishia ngoja niagize store, unataka ngapi?? πŸ˜…πŸ˜…

Wafanyabiashara nyoko sana
 
Makalio ya mwenye duka size gani?
 
Naona wenye maduka yao wameipinga vikali hii post....

Oya Extrovert Vipi torati inasemaje kuhusiana na hili? Maana nimewahi kuuona huu mjadala kule kijijini Instagram na ulikuwa na comments nyingi sana za kuogofya.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Picha la kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…