wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Au ni yule Wambura aliyepewa kesi ya uhujumu uchumi na mwendazake?sasa si ungetoa taarifa za kutosha kuweza kufahamika ? kwa jinsi ulivyotoa taarifa ni kama vile kila mtu anaishi karibu naye au kama vile kuna Wambura mmoja tu nchi nzima.
Hebu toa full details zake ili tumkamateHuyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Mimi simlii timing yeyote ila akiingia kwenye anga zangu haki ya nani amekwisha, nina hasira naye sana.Mlieni taiming mumnyanganye hiyo silahaa kabla hajasababisha madhara zaidi,mkitegemea sana police itakula kwenu, police huwa wanasubiri hadi Jinai itendeke ndiyo wanajitokeza!!
Hilo ndilo lengo lake haswa.Huyo mtoto wa Mungai ana pesa kweli, au anatengeneza propaganda ili aonekane anazo nyingi? Kwa sababu mzee wake kuwa waziri sio kipimo cha yeye kuwa na pesa ndefu. Nafikiri anajaribu kuwatia watu hofu ili aonekane anazo, na aogopwe.
Only in Bongo.Bongo muhuni akiwa na bastola anatishia na kuua kweli aisee...zipo sehemu una bastola yako watu wanaiona kama simu tuu na wakiamua kukuchukulia wanakuchulia tuu na wanajua bastola unayo vile vile...
Kati ya jamii inapenda kumiliki silaha za moto ni hao kina wambura sasa! Mtu akishamiliki mil60+ kinachofuata bastolaWambura na Bastola wapi na wapi.
Wao si wanapiga tu visu?
Anatishia abhachabhaniAfadhali huyo yeye huwatishia warisya wanaomzingua sio kama yule mangi chizi aliyeua dogo wa watu bila hata sababu za kueleweka
[emoji1787][emoji1787]Wambura muda huu anajiandaa kuhama sinza anarudi nyasho
Koroso ni jina la kikuryaAlex Korosso wachaga wamemkana. Huyu ni MNYAKYUSA wa Mbeya. Wachaga wakiua huwa hawajiui na wao. Ukiona mtu kajiua ujue ni mhehe au mnyakyusa.
Mpelekeeni moto mpaka ajute kujidumbukiza kwa mme anayeua na kujiua[emoji101]Sheria ya kumiliki silaha iangaliwe upya... chini ya miaka 40 ni tatizo kubwa...
Sasa mnaona jamaa katuachia mkewe - tufanyeje ssa sisi majirani?
Duu shoga yangu yamekuwa hayo, yakupelekeana moto?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mpelekeeni moto mpaka ajute kujidumbukiza kwa mme anayeua na kujiua[emoji101]
Sababu ya uzito wa mizigo sahizi yupo BARIADI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wambura na Bastola wapi na wapi.
Wao si wanapiga tu visu?
Duh!!!Kabisa..... Nadhani Polisi walikosea kumpa bastola, sinza kwa remi baa zote wanamjua, hata chenji ikipungua anatoa bomba, ubishi kidogo anatoa bastola
Mi nadhani kilichowekwa salama hapo ni hiko kimondo alichokuwa akiringia. Ni kama kumtoa meno na kucha Simba halafu unampa kibali cha kuzurura mjini maana jamaa bila bastola atakuwa kama nyuki wa mashine au joka la kibisaJuzi nilikuwa mabatini police nikakuta kesi yake inaripotiwa nadhani kufikia sasa yuko mikono salama