Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

Sinza kuna mtu anaitwa Wambura, naye hutishia watu bastola hadharani

sasa si ungetoa taarifa za kutosha kuweza kufahamika ? kwa jinsi ulivyotoa taarifa ni kama vile kila mtu anaishi karibu naye au kama vile kuna Wambura mmoja tu nchi nzima.
Au ni yule Wambura aliyepewa kesi ya uhujumu uchumi na mwendazake?
 
Mlieni taiming mumnyanganye hiyo silahaa kabla hajasababisha madhara zaidi,mkitegemea sana police itakula kwenu, police huwa wanasubiri hadi Jinai itendeke ndiyo wanajitokeza!!
Mimi simlii timing yeyote ila akiingia kwenye anga zangu haki ya nani amekwisha, nina hasira naye sana.
 
Huyo mtoto wa Mungai ana pesa kweli, au anatengeneza propaganda ili aonekane anazo nyingi? Kwa sababu mzee wake kuwa waziri sio kipimo cha yeye kuwa na pesa ndefu. Nafikiri anajaribu kuwatia watu hofu ili aonekane anazo, na aogopwe.
Hilo ndilo lengo lake haswa.
 
Mbona Kama hizi matukio zimezaa ukabila??? Mara "sio mchaga Ni mkurya* Mara wengine "Ni mchaga wakurya hatutishii" mnamaanisha ukabila ndo tabia ya mtu? Kama jibu Ni ndiyo,, Naomba mtu anitajie hii tabia ya kukataa kabila lako likizungumziwa vibaya Ni ya kabila gani?.

Ova
 
Hawa jamaa wenye bastola washamba sana! Hasa km wanatokea kanda ya ziwa na kaskazini
 
Juzi nilikuwa mabatini police nikakuta kesi yake inaripotiwa nadhani kufikia sasa yuko mikono salama
Mi nadhani kilichowekwa salama hapo ni hiko kimondo alichokuwa akiringia. Ni kama kumtoa meno na kucha Simba halafu unampa kibali cha kuzurura mjini maana jamaa bila bastola atakuwa kama nyuki wa mashine au joka la kibisa
 
Back
Top Bottom