Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua hajipendi yaan hatukuendana.
Wote hao ni wa JF.
By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika, uyo yeye anajifanya mpole husband material but anaonekana hajui anataka nn nilimuelewa sana na kumpenda sana ila nimeona hatuendani sijui shida ni distance ama nn
Ila na wengine muache viherehere mtu kashasema anataka mtu wa dar nyi wa mbali mnafata nn? Matokeo yake tunashindwana.

UZI TAYARI.
Pole sana!
 
Habari binti...

Wadogo zangu mshamba_hachekwi Mwachiluwi Poor Brain Intelligent businessman umewaona lakini?

Wape nafasi pia
angeweka vigezo vyake hapa,

ngoja nimpe format;

mahali unapoishi ..............................
umri ...............................
dini ..............................
ajira ...............................
maumbile (urefu...............) (uzito..............) (rangi..............)
watoto kama wapo.

ataje na vigezo vya mwanaume anayemtaka kwa muundo huo

kwa namna hiyo ataondoa mkanganyiko.

namtakia utafutaji mwema.
 
Naichukua mimi hii nakuja kutafuta 😅😅😅
 
Sababu sitaki kuamini JF imejaa wahuni tupu, nimekuja tena na ntakuja tena na tena mbaka nipate mtu wa maana, mana kutongoza siwezi labda sababu mm ni mdada sijui.
Mmoja alikua chapombe nkampotezea
Mmoja alikua malaya nkampotezea yeye siku ya kwanza tu alitaka game...aloo!
Mmoja alikua hajipendi yaan hatukuendana.
Wote hao ni wa JF.
By the way kama uliwahi wasiliana namm usinitafute tena kwa mara nyingine mama uyu wa mwisho ndo kituko nisamehe kwa kukuandika, uyo yeye anajifanya mpole husband material but anaonekana hajui anataka nn nilimuelewa sana na kumpenda sana ila nimeona hatuendani sijui shida ni distance ama nn
Ila na wengine muache viherehere mtu kashasema anataka mtu wa dar nyi wa mbali mnafata nn? Matokeo yake tunashindwana.

UZI TAYARI.
Acha umalaya we Binti...maana wote hao wamekula Tunda kimasihara
 
Ubaya gani?

Kijana,kula raha hapo.......

Nimesoma thread humu inasema mabinti under 25 wanawanyima tundu ya kukojolea sana sasa inamaana juu ya hapo wanatoa kirahisi,upewe nini tena kama mumama mwenyewe ndio huyo age ni zaidi ya 25 na hakunyimi?

Au unataka kuwa ndondocha kwa kukosa ile kitu ndani ya week?
Trampuuuu amegoma kutoa msaada wa dawa za UKIMWI ujue
 
Back
Top Bottom