Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Na hii mada ifike mwisho maana kila mtu anataka kujifanya kidume jf alafu mtaani marioo kibao. Yaani mwanaume umlee, umnunulie boxer, umpe ela ya kula, kodi ulipe mwanamke na bado arudi akupelekeshe pumbavuuuuuuuu. Eti kisa ni mwanaume. Inua mbupu ukatafute sio unapelekesha mwanamke kwa ela ambazo hutafuti wewe. Humu kila mtu anajifanya anatunza familia. Kila mtu anajifanya amemjengea mke wake. Wajati mtaani vipuppy vipo kibao havitaki kufanya kazi. Heshima atawapa nani. Wajibikeni kenge nyie
 
Nimeandika neno kufa hapo au unawashwa? Humu jf kuna waume sampuli ngapi mbona naanza kupata wasiwasi
Njooni mikione hichi kitoto eti kinataka kuni ground kwa kuja kunitukana shoga.

We kapuku wa akili kweli unadhani jogoo kama mimi utanitisha kwa huo utitiri.....? By the way unanuka
 
You sound rubish thats why tunaona hakuna maana ya kukuumizia kichwa kufikiria utumbo wako. Ndio maana tunaishia kwa kukupa unacho stahili
 
4.5 with honor unaijua....?
 
Pitia thread zangu. Halafu kidemu kama wewe huwezi tuamlisha tumalize maongozi hizo comand mpelekee baba yako maana huo uozo ulio kujaa no product yake.
 
Pitia thread zangu. Halafu kidemu kama wewe huwezi tuamlisha tumalize maongozi hizo comand mpelekee baba yako maana huo uozo ulio kujaa no product yake.
Nipitie upuuzi wako ulimojaza matusi huna akili
Ndio maana nakudharau
 

Kosa lilianzia kumuozesha binti just after form Six, sometime hali za uchumi,….inabidi mzazi ajue ndoa kwa binti asiye na msingi wa maisha sio ajira bali ni mateso, itapunguza makali ya maisha kwa muda mfupi sana ila after and after ataonekana mzigo na madhara ni makubwa kuliko hayo mapoozo ya maisha anayopata mwanzoni…..

Hata kama sio binti wa kusoma ila elimu ya ndoa inabidi ijulikane kwa binti, kwa jamii yetu form six bado ni mtoto na still hajajua maisha…..

Ndoa ni kwa wenye ndoto wawili wanaungana kuunda ndoto moja na kusaidiana kutimiza ndoto za kila mmoja…..
 
Dada aliolewa na miaka 21 alipomaliza form six si unajua zamani unakuta mtu anamaliza shule ya msingi anapambana na vibarua anakuja kuendelea na shule baadae.
So kipindi anaolewa wala hakuwa mtoto.

Unavyosema ndoa ni watu wawili wanaosaidiana kutimiza ndoto ndo unaona matusi yote haya kwenye hii thread yameletwa na huyo mpuuzi alieanzisha mada. Kuna sehemu anasema eti mwanamke ana uwezo gani wa kukusaidia, eti mwanamke hatakiwi kufanya chochote. Na ndo dada yangu alivyokua anapelekwa na mumewe, na tulikua tunatukanwa ukoo mzima hadi mama yangu anatukanwa kwamba sisi ni maskini hatuna kitu eti yeye shemeji anamfuga dada yetu hana pa kwenda anafanya kumsaidia tu. Leo uje useme mwanamke mpambanaji ni feminist pumbavu kabisa. ndo maana natamani sana kumjua mleta mada huyu The unpaid Seller unaweza kuta ye ndo mwanaume nnaemuongelea hapa maana ana itikadi za kipumbavu sana. Kila nikikumbuka dada yangu alivyoteswa kwakuwa tu hakuwa na kipato wala shughuli yoyote alinyanyasika sana kidogo tumzike maaana aliwahi kupigwa hadi akaingia kwenye coma miezi kibao. Niliomba likizo shule ili nimhudumie mama na dada kwa pamoja. Pesa hakuna. Janaume limekaa huko eti liseme mwanamke hatakiwi kuwa na chochote atakua mjeuri eti atakua feminist. Wanaume wote wenye itikadi za design hii ni wapumbavu na wanyanyasaji wa wake zao shenzi kabisa. Nikikumbuka yale maumivu ya dada najikuta nawachukia sana wenye tabia za kitesi na itikadi za kijibwa. Mwanamke usikubali kukaa nyumbani eti mume anakuletea kila kitu wakibadilika hao watakutesa ufe.
 
Umesema "kwenye interview za kazi" je jukumu la kufanya kazi na kuhudumia familia ni la mwanamke au mwanaume ?!! Mungu aliagiza vipi ?!! Au maagizo ya Mungu yamepitwa na wakati ?, ila kila siku mnakwenda kwa Mwamposa kuomba MUNGU mpate mume.
Ndo wewe nnaekutafuta eti mwanamke asifanye kazi. Huo ni uduwanzi. Kila mwanamke anaefanya kazi mnwita feminist. Hivi mnawajua feminists nyie. Yani nikikumbuka niliyoyaona kwa dada yangu nahisi kama wewe ndo hilo dubwana. Acheni unyamyasajii. Mbona wapo wanawake wanafanya kazi na hawadharau waume zao. Wauaji wakubwa
 
Nakubaliana na wewe,wapo wanawake wenye kazi kuzidi hata waume zao but wanawaheshimu,kuwa na kazi sio kigezo Cha kumdharau mume.
 
Hiyo point ya mwisho ya msingi sana. Mimi
Kuwa na kazi hakunifanyi automatically niwe na dharau!!! So niache kazi nibaki nyumbani ili mume wangu ajione mwanaume? Really? Sasa baadhi ya wanaume wa humu jf wakiona mwanamke anafanya kazi au anasema kitu flani tayari ni feminist. Mbona aibu.

Au niwaulize, mama zao wote ni wamama wa nyumbani? Na wale wa vijijini wanaoshinda majumbani mbona bado ndoa zinawashinda wana kazi gani zinazowafanya wadharau waume zao. Aisee unaweza kujiuliza maswali ukabaki kusema hii karne ya 21 bado kuna watu wanaishi ki BC.
 
Wana makasiriko hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaweza kumgusa shati akasema umemkaba koo
 
Nashangaa sana itikadi zao. Kwa niliyoyaona huwezi kuniambia niache kazi tulitukanwa sisi kisa tu dada kaolewa hana kazi wala shughuli ya kufanya. Never ever acha waniite majina. Mbona saizi ni mfanyakazi na mume wangu namuheshimu vizuri
 
Kumfanya mtu kuwa weak hakukufanyi kuwa strong, bali ni sawa na mjinga zaidi ku dictate kundi la wajinga wenye afadhali au hata wenye uelevu kuliko yeye.
Kumzuia mwanamke asifanye kazi si sawa. Kama unataka kuwa powerful pigania ila sio kupiga mwingine.
Inamaanisha hata binti yako hutaruhusu apate elimu wala ujuzi wa fani fulani ili aweze kuja kutawaliwa na kijana atakayekuja kumuoa.!!?
 

Huyo shemeji yako, ina maana hataruhusu binti zake hata kupata elimu ya kutosha au kupata ujuzi fulani ili waje kuwatii waume zao? Maana mwenye ujuzi anaweza kujiajiri au kuajiriwa, maanake lazima atakuja kufanya kazi….. mbona kama anaishi 1967 kwenyr 2022.
 
See smart men speaking senses now. Ufike mbali kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…