Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Mi sikuizi sijali hatakama ni wa home Tu ale maisha hii kama mwanaume unajiweza Tamu sana yaan unamuenjoy mke wako mpaka tone la mwisho siyo unafika nyumbani unaanza kusubir MTU au na yeye kaenda kwenye semina mwezi sijui wiki, Sema umpende na kumthamini siyo unajitafutia mwanamke mwingine uko ukija nyumban unamuona takataka hatakama ndiyo pretend they're Okey of what they see and hear even if you're just pretending
 
aiseee, am super stressed
 
Tofautisha kujiamini na kujisikia!!!
 
We kumbe kichaa, kama una mwanaume basi hana self esteem for sure, mwanaume timilifu hawezi kuoa ujinga huu ht apewe free.
 
am in this situation, sijawahi kujiona inferior like now, Changamoto ni ulimi wa Mwenzangu, Ni Mwanamke anayejituma, anasimamia malengo, mchakarikaji lakini ulimi wake kuna wakati una ukakasi to a point nimenyoosha mikono.
 
We kumbe kichaa, kama una mwanaume basi hana self esteem for sure, mwanaume timilifu hawezi kuoa ujinga huu ht apewe free.
Mwanaume wangu ni mtu mkubwa tu kwa taarifa yako. Anajiamini ndo maana alioa mwanamke mwenye akili. Na alinikuta na kazi yangu. Nyie vichoko vya mtandao ndo mnakazi ya kukashifu wanawake nyani we
 
am in this situation, sijawahi kujiona inferior like now, Changamoto ni ulimi wa Mwenzangu, Ni Mwanamke anayejituma, anasimamia malengo, mchakarikaji lakini ulimi wake kuna wakati una ukakasi to a point nimenyoosha mikono.
Ooh so
Sorry mkuu. Mkeo hapo amekosea. Tena amekosea sana. I really feel bad for that hadi umekuja kukiri I know. Sio siri wanawake ambao wana kauli mbaya kwa mwanaume ambae anataka peace bila ubabe nawaona wakosaji. Sijajua how you live with her ila hadi unanyoosha mikono it’s not fair kwako.

Ningekua namjua mkeo seriously angebadilika. Wanawake tukikutana huwa tunavitu tunaongea na tukiona mwenzetu anaenda njia iliyombovu huwa tunampa black and white.maana huko nje wanawake kibao wako desperate kuwa na waume sasa yeye anachukuliaje poa uwepo wako?

Juzi hapa nimetoka kugombana na rafiki yangu wa kike. Amemfumania mmewe na message za mchepuko kanipigia analia anasema anataka kupaki nguo aondoke. Nikamuuliza so huko unakotaka kwenda ndo hawachepuki? Utaacha ndoa ngapi? Nikamshauri baki humo ndani pambania nyumba yako mwanaume atakaa sawa tu. So hata huyo mkeo bro huo mdomo ungemuisha. Ningemuuliza huko nje unakoenda unadhani utampata wa kukubembeleza?

Kikubwa bro, kuwa na msimamo na umwambie bi dada ukweli. Sisi tukiambiwa ukweli na waume zetu huwa tunanywea na uelewa
Vizuri tu.

Pole sana aisee
 
Mwanaume wangu ni mtu mkubwa tu kwa taarifa yako. Anajiamini ndo maana alioa mwanamke mwenye akili. Na alinikuta na kazi yangu. Nyie vichoko vya mtandao ndo mnakazi ya kukashifu wanawake nyani we
Bitch unaandika Sn think you'r Smart cuz you work a job, hakuna anayejali degree/maoni yako, we only Care if you're beautiful, funga bakuli hilo!
 
Mnabisha tu ila hii ligi ya 👇👇

Siku hizi ndio inayo haribu ndoa za watu wengi, wengine kubaki single mother na kubaki bila waume (japo hujipa moyo kwamba anaweza kuishi bila mume ).

Najua humu mtabisha ila kama ukipata muda fanya kautafiti chako cha wadada wasomi/Mafeminist wengi wanataka kiwapanda vichwani waume zao.

Ukiona binti ana hela/elimu anamuheshim mumewe,kwa % kubwa, jua huyo binti amelelewa ktk mazingira ya kumjua Mungu kuanzia kwenye ngazi ya familia. Nilimshuhudia jamaa yangu moja yeye ni Otaz ila mke wake yupo UN,kampita mmewe kwa mshahara ila still anamuheshimu mumewe na wote ni watu wa swala tano.

Umkute ambaye maswala ya Mungu yamempita pembeni pili ana exposure, wengi si wake wazuri kabisa.

Sometimes mixer ya elimu dunia,plus ya kumjua Mungu na desturi zetu bora za Kiafrika hutengeneza mke bora. Ila wengi wao mfeminist wana elimu dunia,maswala ya Kimungu na mila na desturi zetu bora wanaona zina wakandamiza wanawake na kuwa pendelea wanaume.
 
Bitch unaandika Sn think you'r Smart cuz you work a job, hakuna anayejali degree/maoni yako, we only Care if you're beautiful, funga bakuli hilo!
Nyooo mbona hao mabeautiful tunawaona mtaani wanaroga waolewe. We hata mwanamke kutongoza hujui maana unaongea nadharia. Siku hizi hamna anaeoa mwanamke asiejishughulisha ni ujinga wenu tu
 
Ulipofeli hapo ni kusema wasomi/feminist. Kwanini unaamini kwamba msomi ni automatically feminist.
 
Nyooo mbona hao mabeautiful tunawaona mtaani wanaroga waolewe. We hata mwanamke kutongoza hujui maana unaongea nadharia. Siku hizi hamna anaeoa mwanamke asiejishughulisha ni ujinga wenu tu
Huna akili, kichaa wewe
 
Ulipofeli hapo ni kusema wasomi/feminist. Kwanini unaamini kwamba msomi ni automatically feminist.
Naamini sababu vipo kwenye jamii na naviona. Ila wapo (wachache) wasomi ambao hawana hizi mentality za kipuuzi za mafeminist.

Ukiona binti ana hela/elimu anamuheshim mumewe,kwa % kubwa, jua huyo binti amelelewa ktk mazingira ya kumjua Mungu kuanzia kwenye ngazi ya familia. Nilimshuhudia jamaa yangu moja yeye ni Otaz ila mke wake yupo UN,kampita mmewe kwa mshahara ila still anamuheshimu mumewe na wote ni watu wa swala tano.

Umkute ambaye maswala ya Mungu yamempita pembeni pili ana exposure, wengi si wake bora kabisa.

Sometimes mixer ya elimu dunia,plus ya kumjua Mungu na desturi zetu bora za Kiafrika hutengeneza mke bora. Ila wengi wao mfeminist wana elimu dunia,maswala ya Kimungu na mila na desturi zetu bora wanaona zina wakandamiza wanawake na kuwa pendelea wanaume.

I hope umenielewa.
 
Mwanaume wangu ni mtu mkubwa tu kwa taarifa yako. Anajiamini ndo maana alioa mwanamke mwenye akili. Na alinikuta na kazi yangu. Nyie vichoko vya mtandao ndo mnakazi ya kukashifu wanawake nyani we
🙌😁😁😁Nimekupenda bure
 
Simchukii wala kumtenga mwanamke yoyote I just dance according to her beat. Akileta za ufeminism ajue amekutana na mwanaume anayejua nini maana yakuzaliwa mwanaume kwenye sayari hii. Tusiwakwepe, kujiamini kwao tunapaswa kuwashusha kwa hoja nzito na kimatendo. I like meeting those kind of women to break them down....
 
Men need help, men need guidance from strong men kunyoosha maTrash km haya
 
Kwa Afrika nadhani hii issue ya kumu emancipate mwanamke ilipokelewa vibaya. Wengi wanadhani ni kushindana na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…