Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Wanawake wengine bana, jitu linatumia acc mbili linajiquote huku na huku kusupport uchizi wake,
crazy how eti "ooh nimeolewa na mtu mzito" mtu mzito au mzigo huo!
Kwahiyo ulitaka uolewe wewe au? Mimi kuolewa na mtu mzito napo umeona wivu wanaume kama mabinti alijiimbia lady jaydee zamani hatukumuelewa
 
Wote sisi n haki sawa mm natembea na mwanamke ambae n 50/50 anapay bills kama
Mm
 
Kwa Afrika nadhani hii issue ya kumu emancipate mwanamke ilipokelewa vibaya. Wengi wanadhani ni kushindana na mwanamke
Mi nikuambie ukwel ukiachana na afrika nchi inayoongoza Kwa mfumo dume marekan ni moja wapo pamoja na Kwamba sheria ni imara kule lakin na kuambia kule mtu anapiga mpenzi wake mpaka anauwa Acha mke
 
Mi nikuambie ukwel ukiachana na afrika nchi inayoongoza Kwa mfumo dume marekan ni moja wapo pamoja na Kwamba sheria ni imara kule lakin na kuambia kule mtu anapiga mpenzi mpaka anakuwa Acha mke
Kwahiyo ndo mnataka huo mfumo dume wa kupiga mkeo mpaka muuwe muulete hapa. Ndezi kweli ueni mama zenu kama rahisi
 
Mwanaume wangu ni mtu mkubwa tu kwa taarifa yako. Anajiamini ndo maana alioa mwanamke mwenye akili. Na alinikuta na kazi yangu. Nyie vichoko vya mtandao ndo mnakazi ya kukashifu wanawake nyani we
Mbona mlikuwa na hoja nzuri tu hapo mwanzo, naona mmegeuka kutukanana tu, which is so unhealthy. Ukiona mjadala unahamia kwenye matusi na kejeli ni bora kujikataa coz mwisho wa siku wote mnaonekana mmepungukiwa mahali. Hoja za mwanzo zilieleweka, kila mtu abebe anachoona kinafaa kwa ustawi wa familia yake.
 

Upo sahihi, Elimu dunia + Elimu ya Mungu + Desturi za kiafrika = mke bora.

Kimoja hapo kikikosekana kina uwezekano mkubwa sana wa kuwa na mke wa hovyo ndani ya nyumba. Tumeoa wake wasomi kabisa, ila wamelelewa vema, wanamcha Mungu so everything looks great as anajua nafasi yake kama mke na mama wa watoto kadhaa.
 
masingo maza wengi niwanawake walio soma na wameajiriwa.hawandio wanawake viburi wakiona nawao wanaamka asubuhi nakwenda kazini nao wanajikuta vidume. jeuri kibao kwawaume zao mwisho wasiku wanaachika nakuja kutuharibia jamii Mana ndio wanaongoza kulea watoto mashoga nawasagaji
 
Hayo ni makosa ya baba yako na mama yako kumuozesha mtoto.
 
Wanaume wenzako waone wanavyotukana. Wanatukashfu wanawake ila hamna anewakemea. Lazima tujitetee
 
Feminist unatoaje ushauri wa mwanamke kubaki kwenye ndoa. Mlioelimika si ndo wajeuri nyinyi huwa mnawajaza wenzenu matope. Ila wanaume wa jf mapuyango sana na wamenichefuaaa wanadhani kila mwanamke mwenye akili feminist mandondocha wakubwa
 
Hao Mario ni watoto wa ma single mum na sio Mario tu ata mabwabwa
 
Majike dume haswa ndo yakutukanwa ila mwanamke mwenye haiba tunawasitiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…