Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Sauti imesikika vizu Sana madam

Nimekupenda bure kabisa.
Huwa mnashindwa tu kutuelewa mkuu. Yaani mimi siwezi kuamka asubuhi nitake kushindana na mwanaume. Never! Sasa katika ile hali ya kueleweshana ndo tunaonekanaga wajuaji na wenye matusi wanakuja nayo.

We respect you as men na tunatamani mlione hilo. tunachoomba ni nyinyi mtuangalie kwa jicho positive hata kidogo. Hata tuwe tumesoma vipi msituchukulie kama tunawadharau. Mkiskia tunabishana mjue ni kwenye fursa za kimaendeleoila family wise simameni katika nafasi zenu kwa upendo na amani mbona sisi tutakua submissive hadi mtashangaa.
 
Waliokua wanatukana huko juu hawakuelewa hata unamaanisha nini kwasababu ya hiyo mentality waliyonayo. Waje wasome vizuri hii comment waacha makasiriko
Mimi nilikua natetea na kukemea hali ambayo imetanda humu jf. Yaani wanawake wanachukuliwa kitofauti sana. Kwa ubabe na na dharau hatuwezi kuelewana. Wakaka wanahitaji kueleweshwa kwamba lazima tujitetee na kwamba sisi hatushindani nao. Sijui uoga wanautoa wapi yaani.
 
Nimekuelewa vizur Sana madam

Wanawake wote mkiwa na mtazamo kama wewe naamini ndoa zitadumu Sana na tutawapenda Sana

Hongera Kwa kudefend hoja humu ktk huu Uzi umekataa unyonge kama wenzio

Big up Sana.
 
50/50 kwenye ndoa ni ya nini mimi? Yaani nianze kuwaza majukumu anayobeba mume wangu niyabebe mimi? Hata kama tunalipa ada sawa. Yani unaskia raha gani unarudi nyumbani unamkuta mumeo anakukunia nazi, amekufulia na anadeki nyumba na wewe unakaa unanyoosha miguu. Eeh hapana jamani. Sa ndo nini
 
Nyie ndiyo kizazi dhaifu kuwahi tokea duniani msiojitambua , nyie ndiyo mnapenyesha sumu na mambo ya kipuzi kwenye jamii na kuleta vitu vya hovyo kwenye jamii, jamii imepoteza wanawake wenge wenye heshima kwa wanaume zao kwasababu yenu, wanawake wenye kudekea penzi/ndoa yao na kujiheshimisha mbele ya mume wake, mmewajaza sumu wanawake muda wote wanakua kama askari kwasababu ya ujinga wa watu wa sampuli yako mnao kubaliana kueneza ushindani ndani ya familia ya kuwa sasa wote ni wanaume 50-50 na hatuwezi watenganisha nani ni baba na nani ni mama, ukubali usikubali kwenye familia baba ni mmoja tu, kichwa cha familia ni kimoja tu na ndiyo baba na mwanaume ni mmoja, mwenye korodani ni mmoja tu tu haijalisha anayopitia ,
 
Nimekuelewa vizur Sana madam

Wanawake wote mkiwa na mtazamo kama wewe naamini ndoa zitadumu Sana na tutawapenda Sana

Hongera Kwa kudefend hoja humu ktk huu Uzi umekataa unyonge kama wenzio

Big up Sana.
Asante. Hapo kwenye kuukataa unyonge ndo nimeambulia kutukanwa😂 na kuonekana mjuaji. natamani wakina kaka wengine watuelewe jamani. Majukumu yenu ya ubaba bakini nayo tu sisi tunapenda kuwa kwenye nafasi zetu. Tena proudly. Baba ni Baba tu. Na mama ni mama. Simple.
 
Natamani kukujibu ila ntakukosea heshima. Acha nikubakishie hata hiyo heshima kidogo iliyobaki. Nna mambo mengi ya kufanya. endelea na matusi 🤝
 
Huyo uliemtag na kumtukana ungesoma vizuri comments zake hadi mwisho ndo mwenye afadhali😹😹😹 wanaume kumbe ni kweli mna negativity juu ya wanawake. Sijui mtakua lini? Mnakurupuka nyieeee
 
Unajua nini madam

Hukurudi nyuma wakati unajitetea na ukaendelea kupush Kwa hoja zako nzuri mpaka Mimi nimekuelewa.

Binafsi ujasiri wako nimeupenda Sana,siku zote kama unaamini katika hoja zako huwezi kukata tamaa,endelea kupush mpaka kieleweke,na always tambua sio kila mtu atakuelewa lakini vile vile sio kila mtu atakataa hoja zako pia.

Napenda wanawake mnaojiamini huku mkitambua uwepo wetu pia kama wanaume kuwa Una uzito wake.

Pata breakfast sehemu yoyote nzur waambie Etugrul bey atasimamia show nzima.
 
Hahahah nashukuru mkuu. Yaani kaeni mkijua we respect men’s existence on this earth. Tunawapenda na kuwaheshimu na kikubwa ni majukumu mnayobeba kama baba wa familia zetu. mkilijua hilo mbona mtanenepa hadi mtufukuze majumbani kwamba tumewazidishia raha😂 have a good day mkuu🤝 thanks for being understanding
 
True, umeongea vizuri. Lakini bahati nyingine mbaya ni kuwa sisi wanaume tukikutana na mwanamke mwenye uwezo kutuzidi tunapoteza kujiamini, ni wanaume wachache wakawa strong huku wake zao ndio wenye uwezo mkubwa kifedha.

Hapo ndio inferiority complex inapochukua nafasi yake kwa tulio wengi.
 
Huyo uliemtag na kumtukana ungesoma vizuri comments zake hadi mwisho ndo mwenye afadhali[emoji81][emoji81][emoji81] wanaume kumbe ni kweli mna negativity juu ya wanawake. Sijui mtakua lini? Mnakurupuka nyieeee
Hapana kuna haja ya kuisemea hii kuna sumu kali sana wanawake mmeibeba ndani ya jamii ya kutaka kuondoa au kubadilisha nafasi yako ya uwanamke na kutaka kuwa mwanaume maana hiyo 50-50 ilikua kwenye maswala mengine ila sasa mmeleta kutdaka kuwa kama mwanaume sijui kama umenielewa,maandiko yenyewe yanasema mwanaume usikubali kumuachia mwanamke nafasi yako ya uwanaume ,hakuna familia iliyo na amani kama ndani ya nyumba wote ni vichwa vya familia,wote viongozi,wote ni baba kila mtu akae kwenye nafasi yake na tuheshimiane ,sioni tatizo kama kila mtu akatii hili
 
Na ndo kinachoniuma. Yani kwanini mwanaume ahisi mimi kuwa kwenye nafasi flani basi namdharau? Wakati mimi natamani aelewe mimi kuwa hapa ni juhudi tu na haibadilishi nafasi yake ya kiume.

Yani wote wakiweza kuelewa hilo I swear dunia itabadilika sana. Na wengi wanashindwa kukiri kwamba inferiority complex inajengwa kwa kudhani mwanamke alie na uwezo flani anadharau. Wakati sio kweli.

Yani mi siskii raha kumtawala mwanaume wangu. I will feel shitty mimi kuwa na last say kwenye nyumba. Why should it be. Sasa unakuta ndoa nyingi zinavunjika kwasababu mwanamke unapojaribu kujieleza kwamba “you’re my man and I want you to be that forever, be strong for us and be the leader “ aisee mwanaume ni kama anaziba maskio anachoskia yeye ni kwamba unamdharau. Yani ukifungua tu mdomo kusema neno tayari anaona unajibizana nae😂😂 Yaani sijui hiyo hali tutairekebishaje. Maana naiona hata humu jf kazi ni kubwa.
 
Kuna mwanamke mmoja anamzinguaga sana jamaa yake huwa anasema pamoja na kumzingua jamaa yake lakini hapendi unyonge wa bwana wake anasema hapendi jamaa yake kuwa kama boya hangurumi ndani kama mwanaume anasema napenda mikikimikiki ya mwanaume yani nae asikubali kubali tu kila kitu awe kauzu ,nikimtuma sokoni anaenda yani yupo yupo tu sasa ona hii ,unaona dharau iliyokithiri na matokeo yake mwanaume wa sampuli hii kujinyonga ni kitu cha kawaida maana hakuna kitu kinamuumiza mwanaume kama kudharau nafasi yake ya uwanaume chezea mengine ila sio nafasi yake
 
Sio wote mnaliona hilo ,wababa tunabeba majukumu yetu ipasavyo shida wale wanauke wazuri wanaokaa katika nafasi zao ndiyo wanadharaulika ndiyo wanaochukuliwa wa hovyo wale innocent ,ila wanaume wakorofi tena wenye ubabe na kuoiga wake zao ndiyo wanaothaminika ,kuna shida sana kwenye hili ,yani mwanamke akipata wa kumuonea yani utamuonea huruma huyo baba so ni vyema mwanamke ukatambua nafasi yako acha kutafua usawa acha kutafuta nani ni kichwa cha familia acha kujiona unaweza kuwa mwanaume hiyo ni inferiority complex mnayo wanawake tena wanawake wa siku hizi,mbona bibi zetu waliheshimu babu zetu na maboma yao yakawa na amani
 
MWANAUME NI MAAMUZI NA MISIMAMO.....ukikosa hv vitu viwili hata uwe trilionea bado utaona kila mwanamke ni FEMINIST!.....kunyandua mwanamke mweny elements za feminist raha mno na niwatamu...obheja nkoi
 
Hongera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…