Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Kwa hiyo wewe una support kwamba mtoto wa kiume aende shule ila wa kike abaki?

Una support kwamba kwenye interview za kazi waajiriwe wa kiume ila wa kike wabaki bila kazi.

Maana 50/50 nnayoielewa hiyo ndo maana yake sasa unafki hapo uko wapi? Au nyie ndo mnaonyanyasa wanawake mnawakandamiza hamtaki haki sawa kwenye elimu sasa mnataka iweje nieleweshe
 
Halafu 50/50 haiwezi kuwa applied ndani ya ndoa. Na uanzilishwaji wa hii ililenga vitu vingine, kama kwenye elimu, ajira, umiliki wa ardhi, uongozi kuwe na usawa wa kijinsia
Kama haifai ndani ya ndoa nini kinafanya ifae huko kwingine ?
 
Wanaosemaga "usinibabaishe kama kusoma na mimi nimesoma" au " kama kazi na mimi nina kazi" hua ni akina nani ?
 
1. Kama 50/50 haifai ndani ya ndoa ni nini kinafanya 50/50 ifae huko kwingine ?!!

2. Kama tunakubaliana jukumu la kutafuta ni la mwanaume, nyie huko makazini mnatafuta nini ?!
 
Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"
 
1. Kama 50/50 haifai ndani ya ndoa ni nini kinafanya 50/50 ifae huko kwingine ?!!

2. Kama tunakubaliana jukumu la kutafuta ni la mwanaume, nyie huko makazini mnatafuta nini ?!
Yaani mimi huyu huyu Mtoto wa Mzee Robert nianze kubishana na wewe kwa point ya pili uliyoiandika hapo😂 ntakua naumwa kichaa.

Niache mie nimalizie kazi zangu nikampikie Hubby😂 khaaa eti makazini tunatafta nini. Kuna wanaume alafu kuna wewe😂 na mnasapotiana. Kwahiyo nishinde nyumbani nakuomba ela ya kununua sidiria. Nyembe zikiisha bado nikuombe.
Sasa ndo nimekuelewa. Kwa mentality hiyo hata mtukane vipi wanawake sie tutasema hewala. Ni malezi tu na tunapotoka ndo kunafanya kila mtu ajione timamu kichwani. Kha.! Nimecheka kwa sauti😂😂😂😂

Wanawake hakuna kufanya kazi mnaambiwa huku🤣
 
Nimekuelewa vizur Sana madam

Wanawake wote mkiwa na mtazamo kama wewe naamini ndoa zitadumu Sana na tutawapenda Sana

Hongera Kwa kudefend hoja humu ktk huu Uzi umekataa unyonge kama wenzio

Big up Sana.
Haujawaelewa wanawake. Hawa ni wanafiki hakuna mfano, YANI KWA MTAZAMO WAKO HUYU SHANGAZI NA UJUAJI WAKE UNAAMINI "ANAMUHESHIMU MUME WAKE" hata kama anae basi
 
Kwa haraka haraka una stress sana, u much know mwingiiiiii, probably sigara na bange unatembeza!

Sasa umepata pa kumwaga sumu
 
Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"
Kwa baadhi ya wanaume hawa hawa tunaowaona mtaani wanapenda kulelewa? Mwanaume anaamka anapaka poda anaenda misele. So na mama nae ashindane na hiyo sampuli nani atalisha familia? Hivi are you okay? Hee na wanaume wenzio wanakusapoti😂

So mtoto kafikia umri wa kwenda shule mimi bado nipo nyumbani nakusubiri uniletee ele ya pedi. Wewe. 😂 nisije nikaandika maneno hapa jf ikanishangaa😂
 
Pretender yote uliosema hapa ni porojo tofauti kabisa na uhalisia, nionyeshe mwanamke mwenye kadegree na kajiajira alie tayari kufuata amri za mumewe nami nitakuonyesha mbuzi anaetaga mayai.
 
Nikiwa High huwa namuona Mwanamke si Binaadamu wa kawaida.
kuna namna wanasayansi wanatuficha

Wanaume na wanawake chanzo chetu si kimoja,,ni viumbe viwili tofauti, na kunakoelekea itazuka vita kubwa kati ya WANAUME na WANAWAKE ya DDUNIA TENA. maana dah sio Poa hawa watu wanajua kutuvuruga, wanauwezo wa kutuzaa bila ama kwa kuingiliwa, na mbya zaidi lazma uishi nao ili uishi kwa amani na ukitaka shari na mwanamke cha Moto utakiona maana inakiwa ni ishu ya Ulimwengu mzima.
 
Kwa haraka haraka una stress sana, u much know mwingiiiiii, probably sigara na bange unatembeza!

Sasa umepata pa kumwaga sumu

Haujawaelewa wanawake. Hawa ni wanafiki hakuna mfano, YANI KWA MTAZAMO WAKO HUYU SHANGAZI NA UJUAJI WAKE UNAAMINI "ANAMUHESHIMU MUME WAKE" hata kama anae basi
Karibuni posta mnywe kahawa wakuu😂😂😂

You need to heal both of you😂 mna maumivu makali sana.

Unpaid seller mume ninae nasubiri atoke kazini anipitie twenzetu home. Ningekua na mume wa design yako saizi nishakufa na stress.
 
Pretender yote uliosema hapa ni porojo tofauti kabisa na uhalisia, nionyeshe mwanamke mwenye kadegree na kajiajira alie tayari kufuata amri za mumewe nami nitakuonyesha mbuzi anaetaga mayai.
Unalazimisha wanawake wote wawe wa sampuli za huko kwenu. Wewe uliowaona kwenu ni huko huko. Kama wanawake wanaokuzunguka ni magolikipa then fine.

Kwahiyo wanawake wote walioolewa hawafanyi kazi? Nani anaoa mwanamke asiejishughulisha karne hii labda wewe.

We una vi inferiority vyako vinakusumbua. Don’t worry as time goes utakua utaelewa. Heal bro
 
Umesema "kwenye interview za kazi" je jukumu la kufanya kazi na kuhudumia familia ni la mwanamke au mwanaume ?!! Mungu aliagiza vipi ?!! Au maagizo ya Mungu yamepitwa na wakati ?, ila kila siku mnakwenda kwa Mwamposa kuomba MUNGU mpate mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…