Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Jibu maswali yangu acha porojo.

Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"
 
Jibu maswali yangu acha porojo.

Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"
Mtoto anakunywa maziwa kwa miaka saba? Umewahi kunyonyesha?
 
Jibu maswali yangu acha porojo.

Hamshindani nao ila mnatamani kufanya kazi zao huku watoto wenu mnawatelekeza kwa house girls, what a shame ?! Mnalea kwa kupiga simu "amekunywa maziwa ?"
Muwe mnaunda makongamano ya kuwashauri wanaume ambao hawataki kufanya kazi wanasubiri wanawake wakatafute wawaletee. Au hao hamuwaoni?

Wote wakikaa nyumbani nani atalea familia. We wa wapi aisee

We kwa akili zako hizo sijui kama una mtoto wa kike atakaeenda shule. Maana una mentality ya kwamba utampeleka shule akafanye nini na nani atakuja kulea wanae😂 so bakinnae akuletee vijukuu hapo ndani avilee mwenyewe.

Unaishi dunia ya peke yako. Bado kuna vitu hujawa exposed navyo. Kikubwa nachoweza kusema ni HEAL🤭
 
Mtoto anakunywa maziwa kwa miaka saba? Umewahi kunyonyesha?
Kulea ni kunyonyesha maziwa peke yake ?! Baada ya miezi mitatu mtoto mnamtelekeza kwa "dada wa kazi"

Science imethibitisha miaka 5 ya awali ndio muhimu zaidi kwa makuzi ya mtoto. Je hua mna matenity ya 5 years ?
 
Una akili mingi sana mkuu,big up
 
Muwe mnaunda makongamano ya kuwashauri wanaume ambao hawataki kufanya kazi wanasubiri wanawake wakatafute wawaletee. Au hao hamuwaoni?

Wote wakikaa nyumbani nani atalea familia. We wa wapi aisee
Jibu maswali yangu basi mkuu mbona porojo nyingi. Is that all you can do jamani mafeminhst vipi ndio uwezo wenu umeishia hapo ?!
 
Kulea ni kunyonyesha maziwa peke yake ?! Baada ya miezi mitatu mtoto mnamtelekeza kwa "dada wa kazi"

Science imethibitisha miaka 5 ya awali ndio muhimu zaidi kwa makuzi ya mtoto. Je hua mna matenity ya 5 years ?
So mtoto akienda shule darasa la kwanza anarudi saa kumi jioni. Huu mda wote nipo nyumbani nakusubiri ulete ela nikanunue pedi. Mbona hunijibu hii hoja? Billionaires tu wanaacha wake zao wakajiajiri.

Wewe una mshahara wa laki 2 mwisho wa mwezi unataka nianze kukuomba. Kwa bahati mbaya sijawahi kuwa na housegirl watoto walipofika umri wa kwenda shule mimi ndo nawapitia nnapotoka kazini. Maisha yanaendelea. Acha kuishi kimaskini. Kasomeshe watoto wa kike.
 
Kama ndivyo unakubali kua sasa wewe ni dume jike !
 
Jibu maswali yangu basi mkuu mbona porojo nyingi. Is that all you can do jamani mafeminhst vipi ndio uwezo wenu umeishia hapo ?!
Unataka nikujibu hoja ngapi maana zote nimekujibu yangu unairuka. Mkiambiwa ukweli mnang’aka. Toka kwenye hiyo mentality bro. Itakutesa kwa miaka mingi sana. Feminism is just a term na wengine hatuiamini. Wewe ndo unaita unafki. Acha wanawake wafanye kazi. Kama wewe unapenda golikipa endelea kulilea ndani. As long as uko sure na kazi yako kwamba hutokuja kukwama na mkeo akakusaidia basi.

Usinichoshe
 
Kama tumeshakubaliana jukumu la kutunza familia ni la mwanaume kwanini ati "pedi" utafute mwenyewe ?!! Eti dume jike ?
 
Nisikuchoshe ?! Ebo, kumbe dume jike unachoka pia ?! Nikajua unauwezo wa kukomaa kidume jike.
 
Kama tumeshakubaliana jukumu la kutunza familia ni la mwanaume kwanini ati "pedi" utafute mwenyewe ?!! Eti dume jike ?
Sasa kwanini huwa mnawatelekeza? Mnahamia kwa wanawake wengine na kuwaacha wanawake ambao mliwaambia msiende kufanya kazi wanabaki peke yao na watoto. Wanaanza kuomba omba mitaani. Ndo maana nakwambia huna exposure na vitu vingi. Kumbe mnapenda wanawake wasifanye kazi ili muwatese vizuri? We jamaa una changamoto juu I’m telling you.

Nachoshauri ankoooo Somesha mtoto wa kike aje kufanya kazi asije kutegemea mwanaume.
 
Feminist wengi akili yao haipo sawa, wana shida kubwa ya kisaikilojia, walishawahi kufanyia ukatili iwe wao au mtu wao wa karibu wanaompenda

Kuna huyo mmoja ni rafiki angu ana hizo pigo nilivomchimba vizuri nikaja kugundua Mzee wake aliwatelekeza yeye, wadogo zake na mama yao wakiwa wadogo, kwahyo mama ni single mother na kawalea kigum sana, kati ya hao watoto watu mmoja ni wa kiume kwenye makuzi yake kapata tabu sana kama mtoto kiume mama yao akitaka awe sawa na hawa wakike hata kwenye mambo yasiyo na maana, huyo mama yao ndio anachukia wanaume kama nini.

Kuna siku Kuna issue ilitokea na tulikuwa wote nikamski "lakini mi ni mwanamke ujue[emoji23][emoji23]" nikajua hamna kazi

Wataimba sana humu ndani nyimbo zao ila feminist wote wana shimo ndani yao ambalo linafunikwa na hisia za kujiona yupo sawa au juu ya mwanaume, ni kama porno na madawa tu hawezi kurudi nyuma.
 
Nisikuchoshe ?! Ebo, kumbe dume jike unachoka pia ?! Nikajua unauwezo wa kukomaa kidume jike.
Design kama umeanza kuishiwa hoja. Hujui hata unajibu nini. Kazi ipo kwa design hii ya watu mbona ukombozi utachukua karne nzima. Mbona wanaume wenzio wengi wanajielewa aisee we unakwama wapi? Kazi kejeli tu ila mawazo mgando.

Somesha binti yakoo acha mbambamba. Muandae aje kuwa mwanamke wa shoka. Na asipoolewa utakua umefuga nini? Au ulimzaa ili aje aoelewe. Ndo nyie tunaowatafuta.
 
Jibu hoja zangu. Mtoto akiwa shule nabaki nyumbani kusugua mabati au?

Pili. Kila mwezi unakuwa unanipa ela ya nyembe na pedi? We una changamoto nyingi. Af wenzio hawajakuelewa bado
Nilikua najua mafeminist ni wajuaji ila sikujua kua ni mazwazwa pia, yani majukumu yote ya familia niyamudu ila pedi na nyembe ati "utakua unanipa?" Hell how bogus are these creatures?

Mtoto akikua na akiwa shule wewe utakua umeota mapumbu mpaka ufanye majukumu mwanaume ?! Na je kwanini umtelekeze kabla umri wa kwenda shule ?
 
Mimi nina changamoto juu ?! Ila wewe ulie umbwa mwanamke ila umejigeuza dume jike uko sawa juu ?! Eti ?
 
Kama hauna hoja wala rejea zozote za kidini au maagizo ya Mungu kuhusu msimamo wangu kua mwanamke hapaswi kutafuta bali kulea na kutafuta ni jukumu la mwanaume nakubali mawazo "mgando" yangu ni bora kuliko mawazo ya dume jike anaetaka kuaminisha dunia kwa mitazamo ya kishenzi
 
Nani katelekezwa ?! Wapi katelekezwa ?! Mafeminist ni watu wajinga sana wanaosimamisha hoja zao za kijinga juu ya simulizi ya kutunga.

Wanadai haki sawa ya elimu ila hawawezi kujadili hoja kisomi. Unakuja na simulizi za kwa saluni ya Ashura ndio unajenga hoja ?! Hao wanawake wanaoachwa nini chanzo, ni kwa wingi kiasi gani (magnitute ane frequency) ?, utafiti umefanyika wapi na ipi ni sample size na sumple population wapi hizo research publications ?!.

Malaya mwenzako kafumaniwa huko kaachwa, wewe unakuja hapa ooh wanaume mnawaacha wanawake, dumejike mpendaamanitanzania jipange uje vizuri next time,

kama huna uwezo wa kujadili kisomi kwenda katafute hela ya "pedi na nyembe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…