Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

Sawa Joyce Karia
 
Wahubiri wa 50/50 aka Beijing Conference hawapractise kabisa mf USA, China, UK etc
 
Upo kama mimi mkuu.
 
👏👏👏🙏🙏🙏
 
wanawake ambao joyce kiria ni role model wao hawawezi kua na akili hata kidogo
Ila nimegundua wanawake ni waoga wa kutetea haki zao. Yani wamekaa kimya wanatukanwa wanakashifiwa wapo kimya tu kwa hali hii atawakomboa nani? Tutaendelea kupelekeshwa hadi mwisho maana ni waoga sana
 
Umeongea vizur sana lakin hata demu wangu huwa nasikiliza maneno yake 5 na matendo yake 10 ndo nayafanyia kazi ,kwann nasema ivyo baada ya kukaa na wanawake tofauti tofauti nilikuja kugundua wanawake hua ni waongo kuliko kawaida ,MTU unaona kabadilika jumla lakin ukimwambia anaruka jumla haina maana hawasemi kwel lakin wanaume wanafaa kuangalia matendo yenu na mienendo yenu zaid kuliko Yale mnayosema
 
Yaan mwanamke femist siyo mpaka amwambie mwanaume osha vyombo, pika ,deki na kama ipo hii bhasi nyie ni masela sio mke na mme,ufeminism unazungumziwa apa ni Kwamba mwanamke kunaka Uhuru flani ananza kuwa nako let say anafanya Jambo sensitive na hajakushirikisha,
 
Hii jamii tuliyopo wanawake mnatakiwa mkae kimya. Hata mtukanwe vipi msinyanyue midomo kuteteana. Ukiongea tayari ni adui. Ila nilichogundua people need to heal, wameumizwa sana na wanawake wa aina flani.

Sure ukisoma mtu anachoandika between the lines utagundua mtu kabeba maumivu ndani mwake kwa kuumizwa na mwanamke/ wanawake wa aina fulani. Anatoa kejeli na hadi wengine matusi kwa wanawake wote
 

[emoji3][emoji3] asipeleke watoto wake wa kike shuleni kama anao, wakae wakiandaliwa kuolewa
 
Yaan ni kiujumla mwanamke hutakiwi kujiamulia chochote ukishakuwa kwenye ndoa haijalishi ni kizur au kibaya. Ukisema unataka kwenda sehem flan mwanaume akise sitaki uende unabaki,ukitaka kufanya project flan akikataa imeishia hapo apo utakuwa mwanamke hata unaeza ukajiskia vibaya lakin huwezi Amin ata nkiwa njian nakumbuka kukujia hata na kazawad sababu nakupenda daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…