Kumbe kujenga mwili ni nafuu kuliko na kujenga uzuri.[emoji23][emoji23][emoji23] yabidi ujifunge hasaaa mdogo wangu.
Kufurahia nini Mangi?Umeolewa??
Ulie nae anafurahia?
Sura ni kitu cha kwanza kumtambua mtu na ndio inayotuchanganya sisi wanaume kwa asilimia kubwa japo wengine wamehamia kwenye sehemu zingine [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa naye ni kiboko.
Hivyo alisahau hata taulo alilovaa huyo Dada. [emoji85][emoji85]
Kwani Makeup inajenga uzuri Mwifwa? 😳😳Kumbe kujenga mwili ni nafuu kuliko na kujenga uzuri.
Ukijenga mwili vizuri, hutohitaji make up tena.
Jitajidini kujenga mwili kwa vyakula bora ili muepuke msaada wa make up
Mbona lotion tu inatosha,Kufurahia nini Mangi?
Mie sipaki kama hao wa kwenye hizo picha kusema naeza pishana na mtu anisahau.
Labda unijuze kuhusu uzuri na muonekano mzuri, tofauti yake kwanza.Kwani Makeup inajenga uzuri Mwifwa? [emoji15][emoji15]
Kila mmoja na akipendacho. Mie lotion napaka ila ka Makeup kangu lazima kahusike kidoogo na kama umenizowea nikiwa kawaida huwezi jua hata.Mbona lotion tu inatosha,
Hayo makitu mi siyapendi yani,
Nikujuze nini sasa wakati wewe ndio umeandika mdogo wangu?Labda unijuze kuhusu uzuri na muonekano mzuri, tofauti yake kwanza.
Hivi mkitoka jasho usoni huwa inakuaje?Kila mmoja na akipendacho. Mie lotion napaka ila ka Makeup kangu lazima kahusike kidoogo na kama umenizowea nikiwa kawaida huwezi jua hata.
Pia yategemea na aina mtu anavyopaka. Kikawaida unadhani hizo picha zilizorushwa hapo kuna mtu anapaka akienda Ofisini? Labda wakienda kwenye Viduku Mangi.
Wanaopaka hayo ni wale wanaokwenda kwenye masherehe labda.
Hahahaaa. Mie hata nikitoka jasho baadae nikikauka nakuwa kawaida siwi hata na chembe ya mchirizi.Hivi mkitoka jasho usoni huwa inakuaje?
Kwa kuwa ninyi watumiaji wa make up lengo ni kufanya uonekane mzuri/uwe mzuri, sasa make up haiwezi kuwafanya muwe wazuri ispokuwa mnajisumbua tu huku mkiacha suluhu ya kudumu.Nikujuze nini sasa wakati wewe ndio umeandika mdogo wangu?
Huwa unafuta jasho kwa kitambaa? Nadhani ndio msingi wa swali na MangiHahahaaa. Mie hata nikitoka jasho baadae nikikauka nakuwa kawaida siwi hata na chembe ya mchirizi.
Noma aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yajayo Yana furahisha [emoji106]
It's up to you
Hoja imefika mezani, ngoja tusubiri majibu kutoka kwa wahusikaJaman mmesahau ishu yakufanya packaging ya breast. Wengine waita kuboost maziwa.
Unaezasema chuchu saa sita kumbe maskini ya mungu saa kumi usiku.
Sasa wakija mnisaidie, povu watakalo kuja nalo si la kitoto.Haya!! tuwasubiri wanakuja.
Labda sio wanawake, wale viumbe wana tabu sana mkuuHawaji ng'oooh! Kwa picha hizo!
HAWASOGEIHoja imefika mezani, ngoja tusubiri majibu kutoka kwa wahusika