Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Mkuu sidhani kama mm nawe tuliwahi kuInteract kabla. Hadi nakuomba hapa ni kua jambo ni serious kiasi chake na naona ww ndo waweza nisaidia.
Samahani kwa usumbufu
Okay, nafungua pm sasa hivi njoo.
 
Apo kwenye kuhonga Bado inaonyesha Hauna ukombozi wa kifikra na kazi unayoifanya pengine siyo halali.
Ebu weka wazi unafanya kazi gani ingawa najua huo mishahara inawezekana Tena ni kawaida sana.

Narudia,weka wazi kazi unayoifanya kwasababu unaposema kuhusu hela ya kuhonga naona Bado unatakiwa kukombolewa na kama iyo ni pesa ya dhuluma nk acha iyo kazi upate hela ya haki
 
Ha ha aisee jaman mtupe michongo mnayoifanya sio kututambia,maskini tunaumiaaaa😁😁😁😏😏
 
Aache hiyo kazi?

Hela ya haki ilivyokuwa ngumu mkuu
 
Hizi geita nyingi sanaa
 
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…