MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Hilo halipingiki,Nina Wana habari zangu hata mie mwenyewe Sina na sizijui.Uliza uliza unaweza kuta na ww ushazushiwa ๐
Mkuu. Njoo hapa Rainbow Dodoma nikupe michongo ya kuzalisha pesa ukiwa umelala. Mimi ni Financial Consultant, fee yangu ni 1,000$ kwa session ya lisaa limoja. Wewe sitakutoza hata
Hapo mchongo ni mleta post mwenyewe ndo unataka kumgeuzaMkuu. Njoo hapa Rainbow Dodoma nikupe michongo ya kuzalisha pesa ukiwa umelala. Mimi ni Financial Consultant, fee yangu ni 1,000$ kwa session ya lisaa limoja. Wewe sitakutoza hata senti
Kumbe nyie ndio wauaji,wamwaga damu na watekaji,wauza madawa ya kulevya nk kwasababu hutaki hela ya haki.Aache hiyo kazi?
Hela ya haki ilivyokuwa ngumu mkuu
Lazima apoe. Amegundua alichokifanya kweli ni utoto. Baadae akipotea anaanza kutafuta wachawi kwenye ukoo waoTajeer mbona umepowa๐
Daaah,subiri aje amwage pesa,sijui mtaficha wapi sura zenu๐คฃ๐คฃLazima apoe. Amegundua alichokifanya kweli ni utoto. Baadae akipotea anaanza kutafuta wachawi kwenye ukoo wao
Thubutu yake. Mtasubiri sanaDaaah,subiri aje amwage pesa,sijui mtaficha wapi sura zenu๐คฃ๐คฃ
Daah kwahiyo mnabisha? Tajeer kashasema atafanya mchujo kabla hajaanza kumwaga pesa,nyie mnaompondea hamtopata hata mia๐Thubutu yake. Mtasubiri sana
Acha nije kukusaidia kuhesabu
DuuuhWatu mmekuwa wakali
Sawa. Uzuri mimi sihitaji wala sioti kupewa hata mia na mtu. Kama ameahidi kugawa noti anawaingiza mkenge tu mademuDaah kwahiyo mnabisha? Tajeer kashasema atafanya mchujo kabla hajaanza kumwaga pesa,nyie mnaompondea hamtopata hata mia๐
Kasema Hadi apate u platinum member.
Anajua mademu watamfuata??Sawa. Uzuri mimi sihitaji wala sioti kupewa hata mia na mtu. Kama ameahidi kugawa noti anawaingiza mkenge tu mademu
Kasema anasound rich kwanza huku akitafuta namna ya kuwa rich๐๐Mwanangu kashaanza kusound rich mapema hivi ๐น๐น๐น
Mwambie aunty anakusubiri ummwagie midollariii..!!
Huyo mkewe anatakiwa cha kwanza asiwe mchoyo, hatutaki ukoo wachoyo waje kutuharibia empire yetu..!! ๐น๐น๐น
Mkuu hapa umetukosea sana wasukuma.Wasukuma washamba sana!
Et nasikia yupo ndani mpaka leo hajatoka
Sidhani kama yu hai.Et nasikia yupo ndani mpaka leo hajatoka?
?
OkNtajipendekeza tu najua huwezi kuninyima mi ndugu yako mbaga๐