Sipo Hapa kula mtu ila muelewe. Monthly payment yangu ni 4500$ Sawa na 12M kulingana na position Yangu na experience

Hizo pesa unazotumia huko kununua K ungetunza siku ukija huku ufungue hata kamradi kakufuga kuku.
Inaonekana kabisa unastress mbaya na kulingana na mazingira hata K ya bure huwezi pata ndio maana unaharibu pesa zako ulizobeba box kwa hao malaya
 
Safi kijana ongeza ongeza juhudi upande zaidi na hongera kwa kufika hapo ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…