INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Uthibitisho utauona tarehe nane, Kaa tayari ikiwezekana andaa budget ukajifunze.
Clip hapo chini ndivyo itakavyokua hapo tarehe8View attachment 2951188
Usiseme huoni haja ya kuingia deep, Wakati maelezo ya awali hayajaeleweka.Yes sahihi,..Hii ishu ya kupatwa Kwa Jua nilishawahi kuelezea kiasi humu na nikasema kwamba Jua, Mwezi na objects nyingine zilizopo angani huwa zina move and that's why eclipses zinatokea endapo object mojawapo itapita mbele ya object nyingine hali inayopelekea Ku block mwanga wa object mojawapo kutufikia/kuonekana kwenye dunia yetu iliyotulizana.
Sioni haja ya kuingia deep,. nadhani imeeleweka.
Unaelewa nini kuhusu neno "Endapo" yaani "When" in English?Usiseme huoni haja ya kuingia deep, Wakati maelezo ya awali hayajaeleweka.
Kuna sehemu umetumia neno "endapo"
Kwenye Dunia kuwa tufe inayozunguka Jua hakuna kitu kama "endapo"
Sawa,. Una uhakika gani kama Ile animation ni halisi?Ile animation clip nliyokutumia ni mfano halisi wa mambo yalivyo,
Unahitaji msaada mkuu, Maana unasikitisha.Unaelewa nini kuhusu neno "Endapo" yaani "When" in English?
Maana Kwa maelezo yako inaonyesha Kama hata Sayansi ikisema,... "Solar eclipse occurs when...." Unamaanisha wanabahatisha?
Nadhani unapaswa ufahamu kwamba neno "endapo" halimaanishi kwamba kitu fulani kinatokea Kwa bahati tu bali linaonyesha kwamba kutokea Kwa scenario "A" kunatokea kwasababu ya kutokea Kwa scenario "B"
Yaani simply......."Causality"
Sawa,. Una uhakika gani kama Ile animation ni halisi?
Kitu kikishakua animation,.tayari maana yake sio halisia tena.
Ingekua halisi wangekuonyesha video halisi na sio animation.
Kaa chini ufikirie vizuri zaidi.
Haya achana na yote haya nijibu maswali yangu ya kitendo kilichotokea jana kupatwa kwa jua,Unaelewa nini kuhusu neno "Endapo" yaani "When" in English?
Maana Kwa maelezo yako inaonyesha Kama hata Sayansi ikisema,... "Solar eclipse occurs when...." Unamaanisha wanabahatisha?
Nadhani unapaswa ufahamu kwamba neno "endapo" halimaanishi kwamba kitu fulani kinatokea Kwa bahati tu bali linaonyesha kwamba kutokea Kwa scenario "A" kunatokea kwasababu ya kutokea Kwa scenario "B"
Yaani simply......."Causality"
Sawa,. Una uhakika gani kama Ile animation ni halisi?
Kitu kikishakua animation,.tayari maana yake sio halisia tena.
Ingekua halisi wangekuonyesha video halisi na sio animation.
Kaa chini ufikirie vizuri zaidi.
Kwa mujibu wa mtoa mada, jua lipo ndani ya dunia pia jua linazunguka. Hivyo kitendo cha jua kuzunguka kinasababisha kuwa na usiku na mchana.kama dunia ingekuwa flat au nusu duara, jua lingekuwa linafika katikati basi dunia nzima yaan nchi zote ingekuwa mchana
Hapa wewe ndio ulichemka!Hapo kwenye meli na chungwa umejikanyaga sana. Unaongelea dunia kuwa flat ya cd alafu tena upande wa pili wa duara ambao unafanye meli isionekane??????!!!!! Hapa umechemka.
Watu mlikuwa mnauliza maswali mepesi na ya kitoto sana, vifaa vya kuona mbali vinatofautiana uwezo kulingana na nguvu ya lenzi iliyotumika.Sio jibu sahihi hata kidogo. Hata ukiwa na darubini kali ukiwa dar zenji huioni na hayo mabonde na milima huioni. Imewahi enda bichi hapa dar na kuiona boat toka zenji inavyotokea ikiwa inatoka zanzibar?? Inatokea kwa chini kama inaibuka. Zenji iko kwa "chini"!
Watu mlikuwa mnauliza maswali mepesi na ya kitoto sana, vifaa vya kuona mbali vinatofautiana uwezo kulingana na nguvu ya lenzi iliyotumika.
Hana hoja, Nadhani kashatambua kuwa Dunia ni tufeHateeb hajacomment chochote toka total eclipse
SAwa kabisaHana hoja, Nadhani kashatambua kuwa Dunia ni tufe
Hahhh sasa kuna kipi kipya kwenye tukio la total eclipse?Hateeb hajacomment chochote toka total eclipse
Chai hii.....Hana hoja, Nadhani kashatambua kuwa Dunia ni tufe
tupatie mchoro kaka wa kiflat tujifunze zaidiHahhh sasa kuna kipi kipya kwenye tukio la total eclipse?
Kwamba hii ni total eclipse ya kwanza tokea Dunia iumbwe?
Total eclipse ni uthibitisho tosha Kwamba Mwezi na Jua zipo kwenye motion &that's why eclipses zinatokea,... wakati huo Dunia yetu tambarare ipo stationary!
Mchoro wa kiflat kuhusu kitu gani?tupatie mchoro kaka wa kiflat tujifunze zaidi
hii eclipse kaka kuhusiana na arrangement za mwezi na jua pampoja na motion zao zipo vpMchoro wa kiflat kuhusu kitu gani?
Nishaelezea humu kwenye posts zilizopita ,.....michoro na animations hata ziwe complex vipi haimaanishi ndiyo ukweli ulivyo.hii eclipse kaka kuhusiana na arrangement za mwezi na jua pampoja na motion zao zipo vp