Unaelewa nini kuhusu neno "Endapo" yaani "When" in English?
Maana Kwa maelezo yako inaonyesha Kama hata Sayansi ikisema,... "Solar eclipse occurs when...." Unamaanisha wanabahatisha?
Nadhani unapaswa ufahamu kwamba neno "endapo" halimaanishi kwamba kitu fulani kinatokea Kwa bahati tu bali linaonyesha kwamba kutokea Kwa scenario "A" kunatokea kwasababu ya kutokea Kwa scenario "B"
Yaani simply......."Causality"
Sawa,. Una uhakika gani kama Ile animation ni halisi?
Kitu kikishakua animation,.tayari maana yake sio halisia tena.
Ingekua halisi wangekuonyesha video halisi na sio animation.
Kaa chini ufikirie vizuri zaidi.