Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........

mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .

Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........


Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
 
Umasikini ndio driving factor iwalazimishayo wanawake kuingia kwenye ndoa.
Akikosa alichokifata atakuacha akipata alichofata atakuacha kwenda kwa chaguo lake.
Mwanamke anaweza kuvumilia umasikini wa baba yake na sio wa mume wake.
Mwanaume masikini hawekewi limbwata
 
Yaani ili uwe na Amani hapa Duniani,Mwanaume tambua hilo,love is just an illusion,hakuna kitu kama hicho eti unapendwa.It's just your turn....enjoy your turn,ikifika mwisho,kubali kiroho safi bila manung'uniko wala ugomvi.Muache aendelee kupanda ngazi inayofuata.
 
"Mwanamke anaweza kuvumilia umasikini wa baba yake na sio wa mume wake....." kila mwanaume anapaswa kujua hilo ukiwa una umasikini wa kudumu usimtegemee mwanamke utakufa kwa stress.....
 
Vijana wa 2000mmejitengenezea mitego wenyewe , eti kama hauna pesa hakuna kupendwa , ma--aeee zetu komaeni na nyeto ila hao dada zenu wanatuelewa tu sie bila hivyo vigezo😁😁😁😁 ni kwa upendo tuπŸ™
 
🀣
🀣
 
Huko Bata batani unazani utapata mtu wa kueleweka.
 
Mkuu kumuelewa mwanamke ni kazi sana ni kuishi naye kwa akili tu.
 
Umechelewa mno kuujua huu ukweli, soma hapa


Mwanetu mmoja alikuwa anamfukuzia vibaya demu mmoja walikuwa wanasoma pamoja chuo ila jamaa alimuacha mwaka mmoja yule dada, mshkaji akawa kamaliza akamuacha yule demu hakuwahi kuona ndani wala kuhusiana nae ila demu alikuwa anawekwa vizuri tu.


Muda umepita wa chuo yule dada akamaliza masomo akarudi mtaani. Alipokuwa anaishi yule dada ni kwa aunt yake, kwao ni Manyara, huku na kule yule mdada akapata taarifa kuwa jamaa mambo yake sasa hivi yako swafi, demu asijisogeze nini! Akashika na ujauzito. Wana mtoto wa miaka 3 sasa jamaa anaishi na yule mdada.
 
Uposa sawa kabiπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…