Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........
mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .
Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........
Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN