Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

Nyie watu mnafanya uwanaume uonekane mgumu sana...

Inamana .....
Au basi ngoja niendelee ku grow up mybe kuna ukweli...
 
Kula chuma hiyo
Screenshot_20240620-100930_1.jpg
 
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........

mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .

Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........

Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
Wanawake wengi ni wabinafsi wamenishangaza bungeni kwenye bunge la bajeti wanaume wote wameenda na wake zao ika hakuna waziri mwanamke aliyeenda na mme wake hata chief hangaya mume wake anamkimbia wakati magufuli na kikwete walikuwa bega kwa bega na wake zao yaani mimi katika vitu sihangaiki navyo ni wanawake kuna mmoja nilimuomba namba siku moja akasema hana simu sijamrudia tena nimekutana naye anasema umekasirika nilikuwa nakutania tu nione kama upo serious yaani nikubembeleze kula hela zangu pumbavu kabisa wanawake acheni ubinafsi na roho mbaya.
 
Umechelewa mno kuujua huu ukweli, soma hapa

Mwanetu mmoja alikuwa anamfukuzia vibaya demu mmoja walikuwa wanasoma pamoja chuo ila jamaa alimuacha mwaka mmoja yule dada, mshkaji akawa kamaliza akamuacha yule demu hakuwahi kuona ndani wala kuhusiana nae ila demu alikuwa anawekwa vizuri tu.

Muda umepita wa chuo yule dada akamaliza masomo akarudi mtaani. Alipokuwa anaishi yule dada ni kwa aunt yake, kwao ni Manyara, huku na kule yule mdada akapata taarifa kuwa jamaa mambo yake sasa hivi yako swafi, demu asijisogeze nini! Akashika na ujauzito. Wana mtoto wa miaka 3 sasa jamaa anaishi na yule mdada.
Never ever return to your ex don't drink poison because you're thirsty kuna mmoja alikuwa na dharau sasa hivi kashazalishwa mtoto mmoja anataka nimuoe hata mke wa pili.
 
Umeongea maneno yenye busara.
Kazi kwao wanaojidai kupenda kiumbe kinaitwa mwanamke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashangaa sana mwanaume 24/7 anampost mke wake mitandaoni eti anampenda wakati hyo kazi ni ya mwanamke hakuna mwanaume anaoa mtu hampendi ndio maana dokta mwaka na manara kila siku wanalia hadharani hakuna sharkan kwenye mapenzi.
 
Mwanaume: UKIWA NA PESA KUWA MAKINI SANA NA MWANAMKE UNAYETAKA KUMUOA. NI HERI YA WALE UNAOJIPIGIA TU KISHA UNAPITA MBALI NAO MAANA HAO HATA HAWATOKUUMIZA KICHWA. ILA YULE UNAYETARAJIA KUMUOA KUWA NAE MAKINI SANA, 90% HAJI KWAKO KWA UPENDO WA KWELI BALI PESA ZAKO NDIYO SABUNI YA ROHO YAKE. JAMANI TUNA MIFANO HAI MINGI SANA KWA HIYO KUWA MAKINI

UTAKUJA KUFA VIBAYA MBWA WEWE KWA KUKOSA UMAKINI WAKO

Ni heri ukaishi na wanao tu. Mbususu zipo hata kama hujaoa
Kwenye mapenzi mwanamke ana standard ila mwanaume hana ndio maana vichaa wanawake wana watoto lakini vichaa wanaume wanawake wanawakimbia sex kwa mwanamke ni kitu special sana anaangalia nani wakumchanulia miguu yake.
 
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........

mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .

Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........

Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
Good thinking
 
Jiandae kujibu swali la kijinga toka kwa great thinkers "kwa hiyo mama yako na dada zako ni prostitutes?"
As long as mwanamke ana mentality ya kutoa penzi kwa kigezo cha kunufaika kifedha au kutatuliwa matatizo yake basi uyo ni kahaba bila kujali uyo mwanamke ni mama angu dada angu au ndugu wa yoyote
 
Umechelewa mno kuujua huu ukweli, soma hapa

Mwanetu mmoja alikuwa anamfukuzia vibaya demu mmoja walikuwa wanasoma pamoja chuo ila jamaa alimuacha mwaka mmoja yule dada, mshkaji akawa kamaliza akamuacha yule demu hakuwahi kuona ndani wala kuhusiana nae ila demu alikuwa anawekwa vizuri tu.

Muda umepita wa chuo yule dada akamaliza masomo akarudi mtaani. Alipokuwa anaishi yule dada ni kwa aunt yake, kwao ni Manyara, huku na kule yule mdada akapata taarifa kuwa jamaa mambo yake sasa hivi yako swafi, demu asijisogeze nini! Akashika na ujauzito. Wana mtoto wa miaka 3 sasa jamaa anaishi na yule mdada.
Katuangusha sana fala huyo. Hiyo ng'ombe imekaa kibra kabisa ilikuwa ni kuichinjilia mbali yeye anaweka zizini kuifuga ile nyazi za bure.
 
Duh, so hapo mwana kampenda demu sana na demu hajampenda wala nini, aisee atakuja zalishwa watoto wasio wake.

Kwakweli ni hatari kupendwa kisa una hela.
Ukishakuwa na pesa na haukuwahi kuoa then kaa mkao wa tahadhali sana kimahusiano.
 
Ukiona ndoa yeyeto imedumu tambua mama mkwe anafaidika nayo.
Mama mkwe asipofaidika na ndoa ya bintie haiwezi dumu.
Wanaoza kama uwekezaji
 
All women are prostitutes they just use different strategies.
Mimi kama Kaimu nilitaka kuongea but Mkurugenzi kamaliza hapa mjadala umefungwa rasmi sitarajii kuona coment baada ya hii ya kwangu..
Mkuu Natafuta Ajira nilishaamua kuwa nitakuwa nawanunua for a reasonable price.
Sasa niwashangaze kidogo tu Nimeachana na baby mama wangu huu unaenda mwaka. Baada ya kumsihi sana arudi na yeye akagoma nikaona isiwe kesi.
Nikamkubalia kuwa sawa tuachane kiroho safi ili tubaki kulea watoto. Akafurahi maana sijamletea kwere maana alihisi kwa ninavyompenda lazima ningeleta vagi baada ya kujua alipotorokea.
Lakini mi nilifatilia bila yey kujua siku anayokuja kunifuma mazingira yake akaja speed ananisachi mwilini.
Eti hujabeba silaha kweli? Nikanyanyua mikono akatalii akaikosa silaha.
Nilishangaa maana katika siku ambayo ndiyo nilikuwa nimeiweka kiunoni ni siku hii but ahsante hakuigusa.
Nilimuwekea mikono kijasusi kidogo hakuigusa na ilikuwepo.
Baada ya hapo tukakaa tukawa tunapiga stori. Wakawa wanapita majirani zake anawaita anawatambulisha kuwa huyu ni mume wangu mi nimechuna tu nawaza huyu hajui mi ni jasusi la daraja la juu anatumia mbinu ya Introducing alert.
Yaan ni kama anawataarifu kuwa yule niliyewapa taarifa zake ni huyu mummaki
Akionekana mazingira mnitonye si mnaijua hiyo trick?
Baada ya kuwaona watoto sikuwa na mengi nikateleza kama koboko na kurudi kwangu kucheza na madog yangu mawili.
Lakini niligundua kuwa siku zote ukiona mwanamke ameanza kuimba nyimbo za kuachana jitahidi umtoroke wewe maana akikutoroka anakuumiza sana kama unavyowajua wanawake akili zao.
Tukiwa kwenye hiyo situation ya yeye kusema tumeachana akaja kunipigia simu akiniambia kuwa yeye amemove on kabisa so tubakie kulea tu watoto ili wawe na maisha mazuri na blah blah zingine
Nikawaza hapa ni mtu kamwaga mboga bila kujali njaa niliyonayo so mimi natakiwa kuhakikisha kuwa kesho hapati hata uji toka kwangu
Nikawaza huyu anataka niwe namtumia pesa kwa kisingizio cha hawa watoto?
No she has to face the real freedom.
Free from my teritorry and free from my pocket.
Huwezi ukaishi nje ya himaya yangu kwa udhamini wangu maana hata baba yake alipojua kuwa binti yake amehamia kwenye himaya yangu alisitisha huduma mara moja.
Nikasema subiri she will never see the end untill it has arrived. Na jukumu la kulea watoto atalibeba peke yake kwa muda usiopungua miaka saba.
Nikamwambia mimi nitabaki kununua malaya tu kwa huduma yangu.
Gues what akaniambia nikiwa natoka kwenye mission zangu niwe namuita namlipa yeye then anatekeleza hayo. Nikamjibu poa but najua ni kitu ambacho hakiwezi kutokea yaani niwe nataka kuenjoy halafu nimuite mtu yule yule aliyeondoka kwangu na kuniacha na fadhaa zaidi labda kama natafuta kupewa kesi ya kulawiti maana nitamfanyia uchafu usiomithilika yaani.
So the safest way ni kustay away na yeye kama ni sex apange yeye na sio mimi kwenye nafasi yangu ya kuenjoy na majitu aje tena aweke kauzibe. Noo yeye apange tu yeye kama yeye japo nitampa kifuta jasho but not to hire her na ajue kabisa hata akipanga yeye still itakuwa ni brutal sex.
So you can see the reality is that she left due she couldnt find her interests in me which are financial. But after she heard about the contract she was ready to attack that oportunity.
 
Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka..........

mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata toka kwako , haijalishi huyo mwanamke umemuoa au hujamuoa,umezaa naye au haujazaa nae tambua huyo mwanamke hakupendi na kama unabisha wakati wako ukifika utakuja kusimulia na kuanzisha nyuzi za mojonzi .

Nataka nikwambie siri hii mwanamke wako mambo yake yakianza kunyooka, akishaanza kupata pesa, akishapata ajira baada ya kumsomesha, ukishapata naye mali na ameanza kusimama kiuchumi kuliko wewe tambua hapo hutasita kuona aina kila rangi kwa mwanamke wako .........

Mwisho kabisa ishini nao kwa kula EAT AND RUN
sasa wewe kufa na lwako,usiwaingize wanaume wengine
 
Back
Top Bottom