Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

Acha ujinga Hilo ni tapeli
 
🤣Acha porojo zako hizo wakati unawadirect wastaafu wapeleke kiinua mgongo kwa Ontario ulijaribu hata kudai hiyo 40% ili ujiridhirishe kabla ya kwenda kuwatia wazee wa watu pressure
Forex retail ni ngumu kuliko kawaida ndo maana na wewe ulishia kupigwa na mzee wa Jaguar umebaki unalia lia na kutaka kuja kumuua ukirudi abroad. Ungekumbuka kudai hiyo 40% sasa hivi usingekua unashindana kuhonga mapoti
Forex retail hailipi bora ukalime lakini nikishindwa mimi haina maana kwa mwingine haiwezekani
 
Etu tuwekee habari kamili tuelewe uyo ni nani na kafanya nini na huwa anajihusisha na nini.,

Maana sio wote tunamjua na kwakua uzi huu umeiweka humu basi tunahaki ya kuelezwa maelezo ya uhakika.

Kwakua hii habari umeiweka ww bas una wajibu na ni haki yetu kutuelezea uyo ni nani na hii sio umbea ni habari uloweka ww hatujakuomba umeweka mwenyewe kwa mapenzi yako.
 
Kama kweli amefanikiwa kwa kiwango hiki unachotaka kuuaminisha umma asingekuwa amenitapeli kwa njia aliyofanya acha na sijui ana mpango gani huyu kijana.

Akili bila busara ni bure kabisa hata haangalii ni nani anamtapeli anyway njia aliyochagua sijawahi kumlaani Wala kumfuatilia ila naonya msimwamini sana
 
Sasa kama inawezekana kwa nini jamaa anaomba hela watu wachangie ? Kama Forex ina hela huyo Sirjeff mbona alikimbilia Mafinga ? Huyo jamaa alikuwa anatafuta wanafunzi wa Tshs 30000 kwa Zoom session kupitia twitter Dec 2024. Waliotapeliwa wako wengi na tunajua hela zilienda wapi. Na sio swala la utaalamu. Mara mia ubeti mpira kuliko forex maana na broker ni market makers. Mimi sidai 40% wewe umesema Forex ina hela nimekwambia Leta portfolio nikupatie kazi Frankfurt. Wanataka mtu ambaye ana 40% +ve trades ya portfolio nzima maana itakuwa rahisi wao kutrain. Wala haitoi hata shilingi mia. Watakulipia hadi tiketi ya ndege na hela ya kula njiani. Wana confirm na broker.
 
Ni tapelii kanitapeli mwaka Jana 2024 tena inaniuma maana mzigo sikuona na kaniblock mazima acheni kumtetea
 
Sielezi
 
Nimepata taarifa kuna watu wana mipango mibaya juu ya huyu jamaa. Waambieni watu wake wa karibu wahakikishe ndani ya wiki hii wamemuondoa DSM.
 
Sir Jeff

Mafinga

Uhujumu uchumi

Hata ufupisho haupo hivyo mkuu.
 
Yaani mimi mwenyewe nashangaa bitcoin mia unaishi Mafinga na kula kwa mama nitilie,😳😳😳. Huku kunawatu kibao umewakimbia DSM kwa sababu ya utapeli . Bitcoin 100 huyu jamaa angekuwa ameshatambaa yupo Dubai.
Kabisa kabisa mkuu anaweza kua na Bitcoin lakini sio 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…