Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
-
- #21
Tatizo kwa wabongo maisha ya kucheka na kujiachia huishia kwenye 40, baada ya hapo ni malezi, na kukunja uso all the days. Pasua kichwa kila upandeweka na picha za wabongo wenye rika hilo uone mavitambi na makunyanzi yanavyotutesa
Kukosa muda wa kucheka na kufurahi na kuridhika kwa malengo jiwekea kukamilika, Kukosa amani ndani ya mioyo, aidha kuitafuta amani ya moyo kwa nguvu kwa kujinywesha bia huku ukiwa na mawazo, call it total problems!View attachment 2532863
Huyu dogo na Will Smith huwa wananishangaza sana
Mwonekano wao wa sasa ni kama mimi nilipokuwa na 30 yrs
Wewe ni muhenga bila shaka hii itakua miaka ya 94-99 hapo katikati. Kipindi hicho Dstv wanatoa ratiba ya vipindi vya kila chanel kwenye magazine maalumu.Nakumbika enzi hizoo nlikuwa sekondari, nankipindi pendwa scha ucheshi kilikuwa ni Fresh Prince of Bel Air!!
ule msemo wa fainali uzeeni ndounaanza kufanya kazi kwa wabongo kwenye age hiyo,kila unapogeuka ni responsibilities tu hakuna hata muda wa kusmile na maisha yako hata pension huna. Nyumba huna, watoto kila mtaa, familia wanakutizama aisee lazima uzeeke tu kabla ya siku zakoTatizo kwa wabongo maisha ya kucheka na kujiachia huishia kwenye 35-40, baada ya hapo ni malezi, na kukunja uso all the days....... Pasua kichwa kila upande!
licha ya hivyo bhana kibongobongo tunazeeka kuliko hao jamaaHao wafananishe na kina Sugu[Mr two], Joe Kusaga, Prof J, Mbowe,Zitto na wengineo wenye pesa mazee ambao ni lika lao bongo hapa at least sura zao hazijazeeka kivile.
walozeeka nyuso zao ila miili yao inakua haijachoka kama huku kwetu kwa umri huo,ila sijasemea woteHata Wamerekani tafuta wale wasio celebrites uone
mhh watakuchosha zaidi mkuuHaya haya ya ng'ombe,nakamua mwenyewe
Kuna jamaa aliwah kunishauri nile mbususu za vibinti vidogo eti nazo zinasaidia kuwa na mwili safi
Mkuu kwa kunya porini/vichakani?Hapa hapa bongo ukiamua kuishi na uwe hivyo inawezekana tu wala sio mpka marekani
je wameachana miaka mingapiWesley Snipe 60, Will Smith 54, Eddie Murphy 61, Martine lawrence 57.
Mkuu mbona unatugonga na vitu vizito namna hii?walozeeka nyuso zao ila miili yao inakua haijachoka kama huku kwetu kwa umri huo,ila sijasemea wote
Different 5,4,3 hawa ni kama rika moja tu mkuu!je wameachana miaka mingapi
Ukianza kutembea kwa mikono huku nyumbani hujalipa ada za watoto mkeo atapiga simu mirembe.Katika rika la 35-40, nani amewahi kutembea kwa mikono kama zamani?, au slow somersault kama zamani, zaidi tunaiharibu miili na back bone kwa vilevi vibali mfululizo mpaka cartilage zinasagika na mifupa kusagana.
Nimecheka ghafla ni kweli mkuu usemalo πππ, haya makitu ya gym mkuu, baada ya kila kitu kuwa kimebalance and no stress!Ukianza kutembea kwa mikono huku nyumbani hujalipa ada za watoto mkeo atapiga simu mirembe.
Kabisa boss, kinyume na hapo utapata kazi ya kujieleza sana kuwa huna matatizo ya akili.Nimecheka ghafla ni kweli mkuu usemalo πππ, haya makitu ya gym mkuu, baada ya kila kitu kuwa kimebalance and no stress!
Operation kataa Shikamoo..weka na picha za wabongo wenye rika hilo uone mavitambi na makunyanzi yanavyotutesa
Mzee iyo picha ni ya mda, hao jamaa saiz wamezeeka mpaka mvi kichwaniweka na picha za wabongo wenye rika hilo uone mavitambi na makunyanzi yanavyotutesa