Uchaguzi 2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

TL kawafunua. Magufuli na watu wake wako uchi kabisa. Ukandamizaji wao wa haki za raia umeonekana kwa dunia. Matamko yametoka sehemu mbalimbali ikiwemo UN ya kulaani udhalimu wao.

Wizi wa kura uliokamatwa na teknolojia utadumu miaka mingi hata baada ya Magufuli na CCM kufa. Matumizi ya nguvu na ukandamizaji wa polisi, NEC, Msajili, TCRA, Mamlaka ya Anga, TISS, JW... yote yemewekwa wazi.

Magufuli na MaCCM walijua kabisa kuwa bila wizi wasingeshinda. Kwa uroho wao wa madaraka wakaona bora fedheha kuliko hasara. Yakachapisha mamilioni ya kura feki na kuziingiza katika vituo vya kupiga kura chini ya mtutu wa bunduki. Kama kwamba hiyo haitoshi, sasa wanatafuta maisha ya TL. Halafu kuwa wajinga hapa wanashangilia. Ni wafuasi wa shetani tu ndio wanaweza kushangilia hili.
 
Nyinyi waTZ wangapi, sema milioni na laki tisa, maana waTZ milioni 12 na laki 5 tulimchagua Magufuli. Usituchanganye na wabeligiji.
 
Nyinyi waTZ wangapi, sema milioni na laki tisa, maana waTZ milioni 12 na laki 5 tulimchagua Magufuli. Usituchanganye na wabeligiji
Ukipewa matokeo halisi ya uchaguzi huu utazimia mdomo wazi !
 
Wamekimbia kila mtu njia yake! watanzania wamefanya jambo lao
 
My Presedent Tundu A Lissu wewe ni Mandela wa Tanzania anayekubeza ni sawa na wale vibaraka weusi wa kipindi kile Cha ukombozi wa Sa. Sisi wapenda Haki tupo nyuma yako popote utakapo kuwa maana upo kwa wapenda Haki wa Tanzania tunakuombea usichoke kutupigania sisi tusio na sauti. Mungu mbariki Tl na Taifa langu.
 
Akili nyingi ziliwaponza Wayahudi kwa dikteta Hitler. Akili nyingi zinamponza TAL kwa dikteta uchwara. Akili nyingi na madikteta hawachangamani! Madikteta huiva na wale wanaotolewa majalalani!
 
Karibu mno! nahisi wewe ni miongoni wa majeruhi wa zoezi la vyeti feki.
Sasa huu ndio mwanzo tu wa lile balaa vaa viatu funga mkanda.
Hivi kuna tajiri aliguswa na ujinga wa vyeti feki ?
 
Hiyo ndio "KO" inayotafsiriwa kwa "Ahsante kwa kuja" iliyobakia "Kawambie waliokutuma" Watanzania hawadanganyiki
 
Unafikiri waliokuwa wanafikiri Lissu anaweza kuwa Rais wa Tanzania wana akili timamu? Ahahahahahahahahah!
Kwamba mnao support jiwe mna akili timamu? uzuri sio mbali mtamkumbuka Lisu. kwa ufupi, hakuna nyongeza ya mshahara, hakuna bima ya afya, hakuna ajira mpya, bei ya bidhaa kupanda nk
 
Moto wa Lissu ulisababisha mtu kukauka vipaja ikabidi apepewe na Mafeni.
Lissu kawavuruga MaCCM mpaka leo hawapo sawa.

Mungu amlinde Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…