Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
TL kawafunua. Magufuli na watu wake wako uchi kabisa. Ukandamizaji wao wa haki za raia umeonekana kwa dunia. Matamko yametoka sehemu mbalimbali ikiwemo UN ya kulaani udhalimu wao.
Wizi wa kura uliokamatwa na teknolojia utadumu miaka mingi hata baada ya Magufuli na CCM kufa. Matumizi ya nguvu na ukandamizaji wa polisi, NEC, Msajili, TCRA, Mamlaka ya Anga, TISS, JW... yote yemewekwa wazi.
Magufuli na MaCCM walijua kabisa kuwa bila wizi wasingeshinda. Kwa uroho wao wa madaraka wakaona bora fedheha kuliko hasara. Yakachapisha mamilioni ya kura feki na kuziingiza katika vituo vya kupiga kura chini ya mtutu wa bunduki. Kama kwamba hiyo haitoshi, sasa wanatafuta maisha ya TL. Halafu kuwa wajinga hapa wanashangilia. Ni wafuasi wa shetani tu ndio wanaweza kushangilia hili.

Tundu Lissu ni kiboko. Kwa muda mfupi miezi 4 aliyokaa nchini ametusaidia sana wa Tanzania katika mambo mengi. This time CHADEMA walikuwa na mgombea rais bora kabisa ambaye alimpelekesha Jiwe hadi akakonda na kupoteza matumaini. System yote ilichanganyikiwa hadi kufikia kufanya mambo ya aibu kabisa ambao yamemchafua jiwe na utawala wake.
Uchaguzi huu umekuwa uchaguzi muhimu sana na umejenga foundation ya kudai mabadiliko ya msingi ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Wa Tanzania tumeona na dunia imeona. Hatuta fanya uchaguzi tena katika mazingira kama haya. Huu ndo mwisho.
Kwa sasa ni muhimu sana Lissu aondoke nchini ili kupata uwanja salama na huru wa kupaza sauti na kuleta mabadiliko.
Wote wanao mkejeli Lissu siku moja watampigia makofi. Mark my word.