Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

Nisifurahie ulezi wa mama nifurahie nini sasa? 😁😁😁😁..

Narudia tena ukiona serikali au kampuni inasonga mbele ujue kuna wapambe na snitch bila hivyo Nchi haiendi,lazima wezi kama nyie muumbuliwe.
Kuna muibua maovu na snitch, wewe siyo muibua maovu bali ni mpaliliaji hata wa madhaifu.
 
Kilaza mmoja
 
Hana Uhalali kusimama Kugombea Uchaguzi 2025. Huu Mwaka patachimbika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
NYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Naona leo unapiga za uso tu..
 
Mkuu hawa 59 Million una maanisha hadi wale vichanga watapiga kura? how about minors?
 
Umehaidiwa dili la sensa wewe sio bure
 
Hatari sn
Ila Wabongo mna mihemko ya kipekee sana! Yaani mtu from nowhere anakuja na uzi wake wa "sisi watumishi wa umma...."

Huku akiwa hana orodha, au idadi yoyote ile ya hao watumishi wa umma watakao kwenda na huyu mama huyo 2025! Akiwa hana ushahidi wowote ule kama na yeye ni sehemu ya hao watumishi wa umma!

Nyinyi mnakurupuka na maneno yenu ya kejeli, matusi, dharau! Huku mkiwashambulia walimu! Sijui wamewakosea nini!

Dah! Nchi ngumu sana hii.
 
Ni tapeli tu wala hana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…