Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

Mimi NI mtumishi wa umma ila siendi na mama siendi na yeyote yule sijafurahia utawala huu.
 
Kama kweli we ni mtumishi wa umma. Fack you. Stupid.
 
Mimi ninachofahamu mpaka sasa ikatokea kukaitishwa uchaguzi huru na haki hata kesho; CCM inaondolewa madarakani. Maana imeshachokwa na wananchi walio wengi.

Ila ndiyo hivyo tena. Wamejiwekea miziz kila sehemu! Mpaka kwenye vyama vya upinzani, wapo! Kwenye vyombo vya dola, wapo! Kila sehemu CCM wapo!

Hivyo kuwalaumu Walimu, ambao kimsingi hawahusiki kabisa kwenye kumtangaza mshindi; mimi naona ni kuwaonea tu. Kwangu wakulaumiwa ni TUME YA UCHAGUZI na POLISI.
 
Ujinga --- Uoga ---- UNAFKI
Tanzania nchi ya ahadi ila sio kanan.
Mama ana mengi yanamvuruga anatuliza ghasia kisiasa kibaya Zaid watu hawana akili zileee.
 
Mkuu hawa 59 Million una maanisha hadi wale vichanga watapiga kura? how about minors?
Haya basi tufanye hivi wako milioni 10 vs nyie watumishi wote wa umma je mtatoboa?? Mi nadhani Rais au uchaguzi unatuhitaji wote
 
Kwani mko wangapi jumla yenu? Na siyo wote wenye mawazo hayo! Hivyo mkitoa hayo mme baki wangapi?
 
Akili za kimasikini hizi, unajiona mjanja kumbe mjinga mmoja hivi wenzio wanaolamba asali wewe unashangilia kupandishwa daraja
 
NYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Mwalimu mwingine wa upe huyu hapa
Hivi nyie mbona hamjiamini
 
Kama ni wale mnaopitisha MANUNUZI kama STYLE ya MSD ofcoz mtaenda na MAMA, NO OBJECTION... Siyo Mwalimu afundishaye Chala Primary School kule Ziwa Tanganyika.
 
Tuanzie hapa:
Elf 10 ya sasa inaweza kununua bidhaa za sokoni kiasi gani na Elfu 10 baada ya miaka 2na nusu zilinunua bidhaa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…