Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

Mapito ya mtoto wa kike na WA kiume hayalingani asilani!!
 
Pole mkuu, ukikwama sana cheki mshangazi....last option.
 
The fqct unaweza ku afford vocha ya kupost huku, wewe bado una nafasi. Structure priority zako kujihudumia
 
Hili wazo liliishia wapi?
 
Wakati nipo chuo, nikashalipa ada kwa kutumia boom, huku nakaa hostel. Kuna kipindi nilikuwa naishi nisijue leo naishije. Nikakopa TALA, BRANCH & MPAWA lakini wapi. Baadaye kuwalipa hawa bwana nilishindwa, waakanza kunitisha wanatuma askari wao kunikamata mara sisi wanigeria tutakuloga. Ila yote kwa yote yalipita na sasa naheshimika sana. Vumilia, pambana wala usikate tamaa. Siku yako yaja. Jiepushe na uasherati, mkumbuke Mungu na yeye atakusaidia. Luka 7:23 imeandikwa Bwana alipomwona alimwonea huruma, akamwambia, Usilie. Hakikisha Bwana Mungu anakuona kwa maombi na sala zako.
 
Kaza mkuu sisi tukiwa tunasoma tulikula mpaka panya buku ,nyie vijana wa sku hizi legelege mno mkisha vaa zile yeboyebo zenu zenye midomo kama pua nguruwe mnajiona miamba sna.
 
Nimepitia baadhi ya nyuzi zako. Hujaanza leo kulia lia. Nadhani pia una sonona maana malalamiko yako ni constant. Tafuta mtu uongee naye na ikibidi tafuta msaada wa kitabibu. Unaweza ukaja kujidhuru wewe!

Inakubidi pia utambue kwamba kila mtu unayemuona ana changamoto zake japo watu hawasemi. Na tambua kwamba maisha yako haya ni jukumu lako mwenyewe 100% na kulalamika na kulaumu laumu watu hakutakusaidia cho chote; maana kusema kweli hakuna anayejali (labda mama yako!)

Kozi uliyosoma ni nzuri na naamini hutakosa mahali pa kujishikiza hata kama ni kwa kujitolea kwanza. Tatizo kubwa kwa sasa ni hiyo attitude yako. Umeruhusu na kujiaminisha kuwa wewe ni masikini mnyonge na huna cha kufanya isipokuwa kulalamika tu na kulaumu laumu. Ukiibadilisha tu hii attitude yako na kuwa positive utaona mambo yataanza kubadilika.

 
Wenzako Wanapenda Juu Ya Meza Wanapata Pesa Wee Upo Umezubaa, Kijana Changamka Hapa Bongo Ukizubaa Umeachwa Ferry!!!
 
Psychologically jamaa ana hasira sana!!halafu ni hustle in nature!!

Anaona kuomba omba atashusha hadhi yake,SI unajua pale chuo umezungukwa na watoto wakali vile halafu uwe omba omba inakua noma sana !ameamua kufa kiume!!

Anatembelea falsafa ya master George "Iam not a well fedup slave but a hungry free man"!!

Hiyo wanaitumia sana elites wagumu wanaojitafuta kitaa!
 
Shukuru Mungu angalau wewe unakula mlo mmoja kwa siku. Wengine wana kula mlo mmoja kila baada ya siku tatu.

Ulipangiwa utaishi hivyo unavyoishi Pindi tu tangu ulipozaliwa.
Mwanangu toka jana kwenye uzi kuhusu Diddy nakutana na comments zako zenye utata 🤣
 
Pole Sana Ila kuwa positive na shukuru more problems more success

Believe in God

Leave ur no
 
Njaa haina elite wacha are kiume
 
Pole mkuu,ila shika hii "There no victory without history". Mimi nimewahi pitia changamoto ngumu sana wakati nasoma na kuna muda nilikua nipo nipo tu kulala na kukaa pekee yangu muda mwingi sihitaji hata kusoma lakini nikavuka yote na imebaki kama funzo. Sisemi maisha yamekua mazuri hivyo lakini angalau unashukuru kwa kua na nafasi nyingine kwasasa nimeacha kabisa kulalamika ,jua mpole na pambana siku itafika utasahau muhimu ni kulinda afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…