Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

Asanteeee,hapo pa kusema tumeshariki unanijua,Asante kwa maneno ya busara,natamani niamishie aya maneno mdomoni nisitoe neno hata moja.
 
Aaaahaa,ni kweli ukitumia akili za kibinadamu ni ngumu,ila neno likikukaa ukaelewa unaweza,Mungu ashindwi kukupa unachotaka ukiwa mwaminifu kwake.
 
Pole sana kaka.
 
Yes@Noelia Haya mambo ya kiroho acha tu,mimi kabla sijazini nlikuwa fresh tu,nkaanza uhusiano mambo yanavurugika,nkaaacha nkawa vinzuri,nlivorudia ndio balaa,Vita kali mnoo.Nashukuru Mungu nmepata neema ya kujua mlango.
 
Chali angu hauna mboyoyo mingi
 
Ukizini kivipi?
 
Exactly....
 
Mchungaji ni Binadamu,Biblia inasema fata maneno sio matendo,Mchungaji akikuhubiria uzinzi sidhani eti anapotosha.
 
Sasa hapo ni kuji contradict, unajuwa kabisa huwezi kujioa, labda uige wale wenye matatizo ya akili, una msimamo mzuri, shikilia huo, utapata inshallah, kama kweli una nia na kweli hutaki ujinga wa kuzini hovyo hovyo kwa wale fisi wapenda nyama..
Nina msimamo na nmechagua Mungu badala ya tamaa ya mwili.Aliyesahihi atanielewa.
 
Hutakiwi kuforce ndoa,Mtu akiona unafaa ataomba,Ndio maana hata mimi sijawahi mgusia jamaa kuwa utanioa?Ila katika maongezi unamuona anamuelekeo gani.
Yule wa miaka mitano, mtu hakusikia pia kuhusu ndoa? Lazima kuna wakati
Tukubaliane kwamba kuoa na kuolewa ni bahati it is not for everyone
 
Issue kma hii imewah kunitokea kwa binti mmoja tulipendana sana na me ndo nlikuwa mwanaume wa kwanza kwake.... binti alikuwa deep sana kiroho baada ya muda akanza kuniambia anaona ukarbu wake na Mungu unapungua akawa anaona maono kuhusu maswala ya uzinzi baada ya muda kma wa miezi sita akaja kuniambia hawez kuendelea kuwa na mm sababu anajiona anakuwa mbali na Mungu nikamuacha aende japo kwa maumivu
 
Mkuu si bora angekuwa bikra ndo afanye ivo tungemuelewa.
 
Mchungaji atakuwa anamtamani mamb ya kuliwa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…