Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Kiufupi andika hivi . Mwanaume mvivu usiogope kulelewa na li shangazi ulifulie nguo nk
 
Aiseeh!
Wewe kamwe mapenzi hayawezi kukuliza.

Wanaoliliaga mapenzi wengi wao wao ndio walikuwa kila kitu kwa huyo mwanamke.
Amemsomesha,
Amemlipia Sijui rents,
Amemnunulia kiwanja😂😂
Kamwaga tofauli,
Kanunua gari,
Hao ni broke ambao hawajajipata afu wanaingilia majukumu ya papaa mobimbazzz, unamsomeshaje mtu ilhali mwenyewe unaunga unga? Lazma chozi na kam*si vikutiririke
 
Hakuna guarantee hiyo, hao hao wanaojiweza nao ni vichomi. Tofautisha mtu kuteswa na mapenzi vs kuteswa na mahitaji
 
Basi inabidi ujikite sana kwenye mapenzi bro, make raha ya mapenzi uwe broke.....ulishwe, uvishwe, upewe vocha hii ndio inakua raha
🤣🤣🤣🤣 bro ukijipata mapenzi yanakuwa hayana maana kabisa!
 
Tena nyie wa kutumiwa nauli ndio wakugegeda nankutupa kule.
Cant have anything productive with such a woman
Sa kugegedwa ni adhabu kweli jamani?!! Basi mtuongezee hiyo adhabu 😋
 
Raha ya mapenzi ni mwanaume kumuhudumia mwanamke hata kama niko na pesa.....

Mme wangu alitoka poor family na nilikutana naye akiwa hana kazi, driving nilimlipia mimi na ada ya tour guide tulimlipia sisi (kwetu) na kupelekwa Uganda na Younde ili akiishi Kingereza na Kifaransa tulimpeleka kwetu,
ILA KWA SASA HAMNA RANGI HAACHI KUISOMA hela yangu yangu na yake ni yetu
 
Aiseeh!
Wewe kamwe mapenzi hayawezi kukuliza.

Wanaoliliaga mapenzi wengi wao wao ndio walikuwa kila kitu kwa huyo mwanamke.
Amemsomesha,
Amemlipia Sijui rents,
Amemnunulia kiwanja😂😂
Kamwaga tofauli,
Kanunua gari,
Huo upuuzi siwezi fanya. Nawekeza kwa mwanamke ambaye naona kabisa she can manage on her own.

Unamkuta mwanamke tayari ana kiwanja ana kinist chake...wikend kwenda outing kuogelea pale serena sio ishu. Sasa huyo ndio unasema nitaweka ndani alafu naanza kuhudumia. Na sio kwamba nataka wa namna hiyo eti kwamba nimikeama atanisaidia. Hapana, i am a man of value so i want a woman with value.
Wanawake wote tunajua they wont stay when u r broken. So mie najua kabisa hela ikiisha na mwanamke ataepa. Am ok with that.
Ila na mie ajue kabisa kwa hela zangu hizi micheps kila mkoa na nchi nitakuwa nayo
 
🤣🤣🤣🤣 bro ukijipata mapenzi yanakuwa hayana maana kabisa!
Imagine jamani, unaperuzi meseji za miamala kutoka kwa wafanya biashara wenzio afu kuna kimeseji kimejichomeka katikati cha "baby umekula" haaaa mapenzi hapana ni kwa ajili ya masikini sisi matajiri hapana jamani 😹

mzabzab na Robert Heriel Mtibeli endeleeni tu na masikini wenzenu 😹
 
Huyo sio mwanaume. Mwanaume ata uwe fukara vipi usikubali kusomeshwa na mwanamke. Huko ni kutojitambua kama mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…