Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Karibu upate penzi la kiafrica, wewe ni boyfriend na ni baba, mapenzi na ada ni juu yako 😹Ndio maana sisogei.
Sumu haionjwi😂
Raha ya mapenzi ni mwanaume kumuhudumia mwanamke hata kama niko na pesa.....
Mme wangu alitoka poor family na nilikutana naye akiwa hana kazi, driving nilimlipia mimi na ada ya tour guide tulimlipia sisi (kwetu) na kupelekwa Uganda na Younde ili akiishi Kingereza na Kifaransa tulimpeleka kwetu,
ILA KWA SASA HAMNA RANGI HAACHI KUISOMA hela yangu yangu na yake ni yetu
Maisha ni very very simple. Kila kitu nenda kulingana na uwezo wako. Kama wee unajua uwezo wako kuhonga ni buku 20 nenda na wanawake wa namna hiyo.Imagine jamani, unaperuzi meseji za miamala kutoka kwa wafanya biashara wenzio afu kuna kimeseji kimejichomeka katikati cha "baby umekula" haaaa mapenzi hapana ni kwa ajili ya masikini sisi matajiri hapana jamani 😹
mzabzab na Robert Heriel Mtibeli endeleeni tu na masikini wenzenu 😹
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 AwwwwwwhHatutaki mambo mengi, tunakuomba pesa ya kulipia mzigo bandarini 😹
Hiyo ya adhabu ni tafsiri yako wewe mie wala sijasema ni adhabu.Sa kugegedwa ni adhabu kweli jamani?!! Basi mtuongezee hiyo adhabu 😋
Kumbe mnajua, sasa tutakomaa na nyie masikini wenzetu....watuma nauliMaisha ni very very simple. Kila kitu nenda kulingana na uwezo wako. Kama wee unajua uwezo wako kuhonga ni buku 20 nenda na wanawake wa namna hiyo.
Kama wee unataka wanaume wakukupa range wapo watafute utawapata. Maisha ni very simple
Karibu upate penzi la kiafrica, wewe ni boyfriend na ni baba, mapenzi na ada ni juu yako 😹
Si umesema mnatugegeda na kutupa, ndo nimeomba kuongezewa 😹Hiyo ya adhabu ni tafsiri yako wewe mie wala sijasema ni adhabu.
Ndo hilo sasa la kutuma na ya kutoleaPenzi la kiafrika mlilikataa, mnalitumia pale linapowanufaisha.
Tuendelee hivihivi
Haya leta namba nikutumie nauli uje tugegeduane long wilend hii.Kumbe mnajua, sasa tutakomaa na nyie masikini wenzetu....watuma nauli
Imagine jamani, unaperuzi meseji za miamala kutoka kwa wafanya biashara wenzio afu kuna kimeseji kimejichomeka katikati cha "baby umekula" haaaa mapenzi hapana ni kwa ajili ya masikini sisi matajiri hapana jamani 😹
mzabzab na Robert Heriel Mtibeli endeleeni tu na masikini wenzenu 😹
Njoo uonje kibamia kipo hapa kinakusubiriSi umesema mnatugegeda na kutupa, ndo nimeomba kuongezewa 😹
Leta namba yako mie niivute hiyo hela kwa selcom 😹Haya leta namba nikutumie nauli uje tugegeduane long wilend hii.
Tafuta na lishangazi jingine tugonge 3sum matata ya kufunga mwaka
Ndo hilo sasa la kutuma na ya kutolea
Nakikatia msusa tunatoa mlenda, tunakulaNjoo uonje kibamia kipo hapa kinakusubiri
Hamna shidaLeta namba yako mie niivute hiyo hela kwa selcom 😹
Upo sahihi na wanawapiga matukio balaa maana wanaishi maisha ya kuviziana!Broke women
Desperate women
Single mother
Hawa wanawafaa watu ambao hawana cha kupoteza mfano wagane , divorced men and oldest men .
Wala hatuombi iPhone Ila kulipia mzigo silent ocean lazima imuhusu 😹🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Awwwwwwh
Hakuna guarantee hiyo, hao hao wanaojiweza nao ni vichomi. Tofautisha mtu kuteswa na mapenzi vs kuteswa na mahitaji
Hapo nakukatalia kabisa dr ,mapenzi hayana formula ya hvoBroke women
Desperate women
Single mother
Hawa wanawafaa watu ambao hawana cha kupoteza mfano wagane , divorced men and oldest men .