Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Raha ya mapenzi ni mwanaume kumuhudumia mwanamke hata kama niko na pesa.....

Mme wangu alitoka poor family na nilikutana naye akiwa hana kazi, driving nilimlipia mimi na ada ya tour guide tulimlipia sisi (kwetu) na kupelekwa Uganda na Younde ili akiishi Kingereza na Kifaransa tulimpeleka kwetu,
ILA KWA SASA HAMNA RANGI HAACHI KUISOMA hela yangu yangu na yake ni yetu

Kwani mliunganishwa nafsi zenu?

Anashindwa nini kukuacha? Huyo naye ni bwege.

Nakubaliana na wewe kuwa mwanaume anatakiwa kuhudumia familia yake lakini unaposema pesa ya Mke ni ya Mke(yakwako ni yako) ndipo inadhihirika jamaa yako hakupata MKE.
Na kwa hakika anahasara KUBWA.

Kataa ndoa wanapata nguvu wakikutana na maoni ya wanawake kama ninyi au wanaume wenye mawazo ya kibinafsi kama yako.
Huo ndio utapeli wenyewe
 
Imagine jamani, unaperuzi meseji za miamala kutoka kwa wafanya biashara wenzio afu kuna kimeseji kimejichomeka katikati cha "baby umekula" haaaa mapenzi hapana ni kwa ajili ya masikini sisi matajiri hapana jamani 😹

mzabzab na Robert Heriel Mtibeli endeleeni tu na masikini wenzenu 😹
Maisha ni very very simple. Kila kitu nenda kulingana na uwezo wako. Kama wee unajua uwezo wako kuhonga ni buku 20 nenda na wanawake wa namna hiyo.

Kama wee unataka wanaume wakukupa range wapo watafute utawapata. Maisha ni very simple
 
Kumbe mnajua, sasa tutakomaa na nyie masikini wenzetu....watuma nauli
 
Imagine jamani, unaperuzi meseji za miamala kutoka kwa wafanya biashara wenzio afu kuna kimeseji kimejichomeka katikati cha "baby umekula" haaaa mapenzi hapana ni kwa ajili ya masikini sisi matajiri hapana jamani 😹

mzabzab na Robert Heriel Mtibeli endeleeni tu na masikini wenzenu 😹

Baby umekunywa maji Leo?
Nimekutumia clip ya Janabi kafafanua vizuri faida za maji mwilini
 
Hakuna guarantee hiyo, hao hao wanaojiweza nao ni vichomi. Tofautisha mtu kuteswa na mapenzi vs kuteswa na mahitaji

Sasa kichomi ambaye hajakutia hasara na Yule aliyekutia hasara ya Moto na pesa zako nani amekupasua vilivyo?

Unapoambiwa uishi na mwanamke kwa akili, Moja ya mbinu ni kutumia saikolojia na mbinu Zao kuishi nao.

Unafikiri kwa nini wanawake wapo radhi wateswe na mwanaume mwenye pesa kuliko Maskini?

Jibu ni kwa sababu, Mwanaume Maskini atamtesa kimwili, Kihisia na kiroho
Wakati mwanaume mwenye pesa atamuumiza Kihisia tuu ila pesa zake atafaidi.
 
Back
Top Bottom