Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

Achana nao kabisa wanawake wa namna hiyo. They are useless

Lakini wanaume mabwege hawaishi, tumewaachia kazi hiyo.

Wale wanaume wenye mitazamo ya kitumwa, kutumikishwa na wanawake, au Kupata sifa kwa wanawake

Oooh anajua kutoa pesa,
Jamani anafanya Kazi huyo kumbe ili pesa umpatie,

Kuna Yale yanaambiwa wanaume mmeumbwa mteseke, nalo unalikuta mchana kutwa kuvuja jasho ili likanunue Wigi la elfu 50, alafu huyohuyo demu anaenda kwa mshikaji ambaye hajampa hata Mia,

Yaani wanaume wengine kama waumini wa Mwamposa vile. Akili sifuri
 
Vijana mnakimbia sana majukumu siku hizj, umoate ambaye haombi hela sasa utamu wa mapenzi utatokea wapi?
 
Kwakweli wakati unasubiria kontena zako, akuazime milion 3 utampa jioni.....πŸ˜‚πŸ˜‚

Robert Heriel Mtibeli anajifanya hajaona comment yako
Hawajajua sisi hatuombi kidogo kidogo, sijui mjomba kameza shoka, pesa ya saloon mara gesi imeisha..!!
Tunaomba utatue kitu ambacho kina uhalisia na lazima upoteane km nyani mjane 🀣😹😹
 
So mkuu wewe ulioa mwanamke tegemezi? Maana uliambiwa kuandika page 40 kueleza kwanini hujamununulia mke wako gari!! Au zilikuwa chai za alikasusu tu?
 
Hawajajua sisi hatuombi kidogo kidogo, sijui mjomba kameza shoka, pesa ya saloon mara gesi imeisha..!!
Tunaomba utatue kitu ambacho kina uhalisia na lazima upoteane km nyani mjane 🀣😹😹
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nyani mjane πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
So mkuu wewe ulioa mwanamke tegemezi? Maana uliambiwa kuandika page 40 kueleza kwanini hujamununulia mke wako gari!! Au zilikuwa chai za alikasusu tu?

Siwezi Oa mwanamke tegemezi Mimi. Huo kwa watibeli ni Mwiko.

Huoni aliniambia nimpe sababu kwenye kurasa 20 kwa nini sina gari mwaka wa Tisa huu.

Angekuwa mnafiki angekuwa anasema chinichini nyuma ya mgongo wangu.
Ooh mume wangu hivi, Mume wangu vile. Mume wangu pesa haionekani, Mume wangu hajiongezi.
Lakini mwanamke Akiwa anajiweza yeye mwenyewe mnaweza mkazungumza Black and White.

Na Sisi wengine tunapenda black and white
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…