Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
hayana formula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli wakati unasubiria kontena zako, akuazime milion 3 utampa jioni.....😂😂Wala hatuombi iPhone Ila kulipia mzigo silent ocean lazima imuhusu 😹
Achana nao kabisa wanawake wa namna hiyo. They are useless
hayana formula
zingatia f3 😁😁Never date broken women...just find fvck forget.
Umasikini haujakusonga.....ukikuandama utasomeshwa na utaozeshwa kibabeHuyo sio mwanaume. Mwanaume ata uwe fukara vipi usikubali kusomeshwa na mwanamke. Huko ni kutojitambua kama mwanaume
Kwakweli wakati unasubiria kontena zako, akuazime milion 3 utampa jioni.....😂😂
Robert Heriel Mtibeli anajifanya hajaona comment yako
"Chizi wenu" 🤣🤣🤣🤣🤣 nmechekaUkiona nalipia vitu kama hivyo ujue nami ni mmiliki wa kitu hicho
Mimi sio chizi wenu😂😂
Hapo nakukatalia kabisa dr ,mapenzi hayana formula ya hvo
Vijana mnakimbia sana majukumu siku hizj, umoate ambaye haombi hela sasa utamu wa mapenzi utatokea wapi?
Hawajajua sisi hatuombi kidogo kidogo, sijui mjomba kameza shoka, pesa ya saloon mara gesi imeisha..!!Kwakweli wakati unasubiria kontena zako, akuazime milion 3 utampa jioni.....😂😂
Robert Heriel Mtibeli anajifanya hajaona comment yako
una reverse action 😁😁😁Vipi kama mwanaume nae hana kitu?
So mkuu wewe ulioa mwanamke tegemezi? Maana uliambiwa kuandika page 40 kueleza kwanini hujamununulia mke wako gari!! Au zilikuwa chai za alikasusu tu?SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia 90% anakupenda.
Hii ni tofauti na hawa ambao ni tegemezi.
Usiuamini upendo wa mtu tegemezi, na aliyemaskini.
Vijana wengi wanafanya makosa makubwa kujitoa kwa wanawake tegemezi. Ni kosa kubwa kufanya hivyo.
Mwanamke anayeweza kujilisha, kujivalisha, kujitunza huyo akitafuta mwanaume hutafuta mwanaume kwelikweli kwaajili ya kuwa Mke na huyo mwanaume kuwa Mume.
Hakunaga Unafiki hapo.
Lakini hawa tegemezi, njaanjaa, wanaofikiri kuwa mwanamke ni kilema, au Tiketi ya kuwa ombaomba hao usiwaweke kwenye hesabu. Watakuumiza. Wengi wao ni wanafiki.
Wengi wao mahusiano ni ajira Rasmi.
Wengi wao huwachukulia wanaume kama Misukule yako.
Usitegemee pesa za Mwanamke. Lakini hiyo haimaanishi huyo mwanamke asiwe na pesa yaani asiwe anafanya Kazi.
Mhudumie Mkeo au mwanamke lakini naye anapaswa kujihudumia kwa sehemu. Sio umhudumie kwa kila kitu.
Utakuja kupigwa vibaya wewe.
Usitoe vyote kwa pamoja. Yaani moyo na nguvu kwa mwanamke.
Toa kimoja uache kimoja.
Mfano, Kama utatoa pesa Basi usimpe Moyo wako. Hiyo tunaita kumfanya mwanamke Malaya. Yaani unanunua huduma yake.
Kama utatoa Moyo wako Basi usimpe Nguvu zako(Pesa), hiyo tunaita kupima nguvu ya mawimbo ya bahari.
Ni kosa utoe Moyo wako wote kisha utoe na pesa. Hiyo tunasema kugeuzwa mtumwa na msukule WA Mwanamke.
Haya nimemaliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyani mjane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Hawajajua sisi hatuombi kidogo kidogo, sijui mjomba kameza shoka, pesa ya saloon mara gesi imeisha..!!
Tunaomba utatue kitu ambacho kina uhalisia na lazima upoteane km nyani mjane 🤣😹😹
Zama hizi hamna kijana anajitambua, kama mtazungumzia mafanikio ni lazima mnayapata kwa kuwadanganya mishangazi au mtoe haramuNinyi mlipata utamu upi?
Vijana wa sasa ndio wanajitambua hasa. Sio ninyi mliokuwa slave
So mkuu wewe ulioa mwanamke tegemezi? Maana uliambiwa kuandika page 40 kueleza kwanini hujamununulia mke wako gari!! Au zilikuwa chai za alikasusu tu?