Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

Mkuu,
We jamaa wa ajabu sana. Naona huishi kutetea mwanamke kubeba mashoga zake kwenye first date. Yani ghafla unakutana na wadada wanne wakati mlikubalina mkutane wawili, that's rubbish.

Achana na huo ushamba! Au na wewe ni msukuma?
 
Wewe umeambiwa hivyo bila kiasi fulani hakupi namba wakati Kuna mwamba mwingine kapewa namba Bure hivi unafikiri mtakuwa na mzani sawa?
Hyo ni kawaida mkuu,,hata hyo aliyepewa namba bure kuna sehem anasumbuliwa..
Ila mwanamke anayetaka pesa kwa namba ya simu ni njia ya kumpata,,na kuna wenzio hata nafasi ya kununuwa namba hawapewi.
Mkuu,
We jamaa wa ajabu sana. Naona huishi kutetea mwanamke kubeba mashoga zake kwenye first date. Yani ghafla unakutana na wadada wanne wakati mlikubalina mkutane wawili, that's rubbish.

Achana na huo ushamba! Au na wewe ni msukuma?
Kwahyo hutaki kufanyiwa valuation na mashemeji?
 
Hyo ni kawaida mkuu,,hata hyo aliyepewa namba bure kuna sehem anasumbuliwa..
Ila mwanamke anayetaka pesa kwa namba ya simu ni njia ya kumpata,,na kuna wenzio hata nafasi ya kununuwa namba hawapewi.

Kwahyo hutaki kufanyiwa valuation na mashemeji?
Basi Mwamba wewe Baki na mtazamo wako nami nibaki na mtazamo wangu
 
Hyo ni kawaida mkuu,,hata hyo aliyepewa namba bure kuna sehem anasumbuliwa..
Ila mwanamke anayetaka pesa kwa namba ya simu ni njia ya kumpata,,na kuna wenzio hata nafasi ya kununuwa namba hawapewi.

Kwahyo hutaki kufanyiwa valuation na mashemeji?
Valuation tena😆😆
 
Mwanamke kama kakuelewa hawezi kuja na shost yake hata iweje! Kwahiyo we lomba tu baba.. tena fuata mtririko!
Nimeshavuka huo umri mkuu!
Mwambie yule mwamba mbishi haya uliyoandika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…